Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

Wameona bombadia zetu hawa...halafu si ile Drimulaini yetu ilianza safari India inabidi tusitishe kwa muda.

Utawala wa sheria ndio kitu Cha mhimu la sivyo tutashitakiwa Sana tu.
Kweli tusipofuata utawala wa sheria tutashitakiwa kila wakati
 
Kwani kabudi ameshasemaje?

Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Kabudi toka JPM amemuokota Jalalani haeleweki kabisaaa! Anautumbua macho tu.
 
Wanacho taka ni mikataba iheshimiwe, hauo mengine unayajua wewe.
Hizi ndio zile kampuni type ya symbion power.
Wamiliki wanaweza kuwa mafiisadi wa kitanzania waishio Tanzania halafu ofisi yao iko london kwenye flat ya kupanga. TIC wajitokeze na full document za huyu mwekezaji mwizi.
Hivi ni virusi vichache vilivyobaki vilivyokuwa vikiishambulia afya ya Tanzania.
 
Hawo.. ndio wale mwananchi wa eneo hilo.. hawakuwasaidia kitu.. kurudisha kwa jamii walikuwepo.. zaidi ya kutuharibia mazingira tu na kutaka watu waugue..
Kama CCM ilivyo haribu mazingira kwenye Ubongo wako, kwa kuipenda mwenyewe.
 
Sio mabeberu ni watanzania wenzetu na engineer alyefungua hiyo kesi ni Lisu kwa niaba ya mafisadi watanzania wenye hiyo kampuni ndie kaifungua kupitia proxy Wake wanasheria wa nje

Lisu ni hatari sana kwa nchi hana uzalendo na ni part ya genge la wezi mafisadi
Lissu angekuwa Beberu ukweli ni kwamba angewazilisha sana! Maana MaCCM mnambenulia mikia sana humu.
 
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo kusini mashariki mwa Tanzania...
These clowns are full of themselves. Hapa inabid wawe wapole ili gharama zao za exploration zirudi. hizi mambo za kuleta neocolonialism sio poa maana assets ata kama walidiscover wao wenye sovereignity ni sisi. hapa kama wananchi ni lazima kua wamoja regardless ya itikadi na tofauti zetu. hili jambo linaffect vizazi vijavyo sio kitu cha miaka 10
 
Mbona!!! Umeambiwa na nani hayo?? Wizi wao wa miaka mingi na ujanja janja.. awamu hii na ijayo.. wataomba po tu

Magufuli huwa hakurupuki.. andastudi?
Ni jembe.. smati balaa..
Magufuli yupi hakurupuki? Yule wa meli ya samaki kituo cha mafuta mwanza au mwingine?
 
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo kusini mashariki mwa Tanzania...
Moto unawaka..

Decision makers wetu yaani akina Mawe ndio wanatumia sijui nini kufikiri..

Angalia sasa what is happening...pure lack of maarifa....aisee,mawe mwana hasara kabisa!
 
Kwani kabudi ameshasemaje?

Ukiwa tajiri hukosi vikesi vya kudaiwa fidia maana hata wazungu wanajua sisi ni donor country basi tu mambo madogomadogo yanatukwamisha.
Anasema ata watishia kwa macho ya bundi
 
Back
Top Bottom