njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,371
- 976
Mheshimiwa kwa sasa mitego kama hii anaijua sanaaa...subiri tuWee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..