Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika , Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana .

Chanzo - Mwananchi .
Ushindani umewashinda, waende wanakwenda.
 
mbona rais hajiuzur kwa kosa la kutowaongezea mishahara wafanyakaz badala yake anawaongezea makato ya bod ya mikopo au uhakiki unaendelea?
 
Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..

Celtel,Zain, Airtel
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika , Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana .

Chanzo - Mwananchi .
Wameiba sana wakishirikiana na watumishi wasio waaminifu wa TTCL kuihujumu nchi ktk sector ya mawasiliano mpaka wakajitoa TTCL na kujitegemea kwa kuanzisha Ofisi zao.

Eti Leo hii wamefanya vibaya robo ya mwisho mwaka 2016 then wanaondoka that's very wrong statement sema wameshikwa pabaya na wanatakiwa kuweka kila kitu ktk line kama sheria zinavyotaka na wao hawakuzoea.

Mwisho wa shamba la Bibi Tz umefika
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
Umeambiwa Afrika ni nchi 15 ikiwepo na Tanzania, je huko nako kuna Magufuli au CCM
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
We mzee kwani we hujaona viwanda. Unaishi wapi? Hata hapo ulipo kuna kiwanda Nina uhakika. Kwani kiwanda maana yake nini? Industry is the collection of many firms
 
Sisi tunaodaiwa Airtel Timiza madeni yetu itakuaje? Tutalipa au ndo inakula kwao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom