Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
- Thread starter
- #81
Sio rahisi kama unavyodhani, hatahivyo juhudi zote zinafanywa hakuna kulala.Mtu amesomea IT bado unahangaika na ajira.
Mbona uwezekano wa kujiajiri ni mkubwa sana
Sio rahisi kama unavyodhani, hatahivyo juhudi zote zinafanywa hakuna kulala.Mtu amesomea IT bado unahangaika na ajira.
Mbona uwezekano wa kujiajiri ni mkubwa sana
Anadhani kusoma tu IT tayari unajiajiriMpe mtaji mkuu uone kama atashindwa!?
Demu kwa lugha ya kiuni...Demu maana yake ni nini eti
Ooh hiyo demu ilinichanganya si unajua tena sisi wahenga viswahili vya kihuni tupo navyo tofautiDemu kwa lugha ya kiuni...
Lugha ya staha ni mwanamke...
Ati wewe ni mwanamke wangu??
Message deliveredOoh hiyo demu ilinichanganya si unajua tena sisi wahenga viswahili vya kihuni tupo navyo tofauti
Lolote linawezekana me kuwa mwanamke wako sababu we mwanaume na mimi mwanamke hakuna kinachoshindikana
Acha tu niwaache na nilivyowakuta mnaulizana
Haya maneno ni rahisi sana kuyatamka unapokuwa nyum ya keyboard, huwezi kunyamaza,unadhani kila mtu anamtaji?Mtu amesomea IT bado unahangaika na ajira.
Mbona uwezekano wa kujiajiri ni mkubwa sana