Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

hahaha,,,, cha msingi awe kipanga practically na G.P.A tamu yenye mvuto,, sio tia maji tia maji,, kazi ziko kibao tuu cha msingi awe full programmer kama nilivyosema hapo juu,,, dunia ya leo C++ tuu,,,

Yan programming GPA ya nini mkuu ?
 
GPA ya nini? , mimi sijasoma IT wala CS, ila mtam kwenye languages, na nimesha fanya baadhi ya kazi, na pesa naingiza.

Elimu yangu ni form 4, tu. Haya mambo nilijifunza mwenyewe

mkuu wewe uko wapi ? dar ? mbezi ? ulisoma loyola ?
 
Dah huu uzi naon mmekuja kumshambulia mwenye topic
 
Mtu amesomea IT bado unahangaika na ajira.

Mbona uwezekano wa kujiajiri ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom