Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Hahahah haya sasa, bora umekuja. Jamaa inabidi akupe kazi
Ndio namsikilizia hapa
Hahahah haya sasa, bora umekuja. Jamaa inabidi akupe kazi
mkuu wajua C++ TUU😎😎😎😎 hahaha,,,
Asante, halafu anasema eti nabisha wakati namuelekeza. Analazimisha Ronaldo akae beki, hahahaha anaweza kucheza kama beki lakini sio beki wa kutegemea,yeye nafasi yake ni nyingine.Kwani lazima ajue vitu vyote?? Unaijua IT wewe
mkuu wajua C++ TUU😎😎😎😎 hahaha,,,
Asante, halafu anasema eti nabisha wakati namuelekeza. Analazimisha Ronaldo akae beki, hahahaha anaweza kucheza kama beki lakini sio beki wa kutegemea,yeye nafasi yake ni nyingine.
hahaha,,,, cha msingi awe kipanga practically na G.P.A tamu yenye mvuto,, sio tia maji tia maji,, kazi ziko kibao tuu cha msingi awe full programmer kama nilivyosema hapo juu,,, dunia ya leo C++ tuu,,,Hahahah haya sasa, bora umekuja. Jamaa inabidi akupe kazi
hahaha,,,, cha msingi awe kipanga practically na G.P.A tamu yenye mvuto,, sio tia maji tia maji,, kazi ziko kibao tuu cha msingi awe full programmer kama nilivyosema hapo juu,,, dunia ya leo C++ tuu,,,
wana I.T wengi waliokimbia programming vyuoni wako huku mtaani, wanataka kazi za ku-install program, ku-support customers na ku-upgrade programs , hardware devices maintenance, updating programs, read emails, social media etc... vip na wewe ni miongoni mwao....Hajui kitu huyo, IT ina uwanda mkubwa sana, huwezi kuwa fit kwenye kila kitu..
Hata hao programmers, sio kila programming language anajua..
Bora ujue language moja, ila uwe competent
Hapo ndio unapokosea tena, sasa GPA ya nini?hahaha,,,, cha msingi awe kipanga practically na G.P.A tamu yenye mvuto,, sio tia maji tia maji,, kazi ziko kibao tuu cha msingi awe full programmer kama nilivyosema hapo juu,,, dunia ya leo C++ tuu,,,
Kumbe ulitaka wote wafanye programming halafu hizo kazi nyingine nani afanye?wana I.T wengi waliokimbia programming vyuoni wako huku mtaani, wanataka kazi za ku-install program, ku-support customers na ku-upgrade programs , hardware devices maintenance, updating programs, read emails, social media etc... vip na wewe ni miongoni mwao....
hongera kama ulijifunza mwenyewe mtandaoni.. cha msingi fanya kujiajiri mwenyewe ni ngumu kuaminika popote that why kila kazi ina qualifications zake.GPA ya nini? , mimi sijasoma IT wala CS, ila mtam kwenye languages, na nimesha fanya baadhi ya kazi, na pesa naingiza.
Elimu yangu ni form 4, tu. Haya mambo nilijifunza mwenyewe
tatizo lako unatetea unachokijua hii ni dhambi inayokutafuna,, nimesema I.T wa degree programming ni muhimu,,, basi nenda kule kishumundu na tandahimba kuna kazi za kuistall/kupiga windows, ku-install office na ku update antivirus, kazi za phone support unazotaka wewe..Kumbe ulitaka wote wafanye programming halafu hizo kazi nyingine nani afanye?
Nani atamanage database, nani atasimamia infrastructure za kampuni nzima, nani atakuwa NOC au unadhani internet unayopata wanaosupport ni kina nani?
Mi nadhani IT waachie wenyewe tu, ila maoni yako yamepokelewa.
Okay.Basi kama ni hivyo kwamba hawajui ngoja tuone some comming weeks hao wasiojua jinsi watakavyojazana pale DUCE kwenye interview zile za serikal maana ma programmer kibao wana vacancies walizo applyWanaojua hawatafuti kazi, wanatafuta pesa kupitia skills walizonazo.
Kwenye computer science huitaji milioni 50 au 100 kujiajiri, tunataka ubongo wako kwa 98% kisha hizo figure kubwa kubwa zitakufuata nyuma.
Sawa.Kama unajua programming language za kutosha kazi hazisumbui...wanaotafuta wanapata kirahisi..
mimi naweza programmingTatizo hajui programming,,,,,angekua senior wa programming kazi zipo nyingi angezikimbia mwenyewe...kazi anazoweza mostly wanapewa watu wa certificate za I.T.
najua C++, java, php,oracle,vb.net,html, javascript,cssHahahah haya sasa, bora umekuja. Jamaa inabidi akupe kazi
good nitumie CV yako,,na copy ya vyeti vyako vyote P.M kama unakidhi nikuunge,,najua C++, java, php,oracle,vb.net,html, javascript,css
naongelea experience yangu namakampuni pia.........makampuni mengi ya bongo when it comes to system administrator wnatumia codes zakawaida mnooo kiasi cha kwamba programmer anaweza kuzipitia na kuelewa kila mstari wa code unafanya kazi gani hivyo naweza badilisha system iliyotengenezwa na mtu yoyote yule na ikawa vile ninavyotaka mimi ili niweze kuimaster....................na network engineering binafsi sijasomea ila nisha decode system nyingi na kuelewa how they work na nikafix matatizoHalafu kusema kwamba ukimaster programming basi maswala ya network hayakupi tabu huo ni uongo, unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako na ukawa mtaalamu,programming its all about coding. Lakini vitu kama Network Architecture, etc. Vinahitaji practical kwa kiasi kikubwa, huwezi kuwa Network Engineer kwa kukaa mezani na laptop yako tu.
najua C++, java, php,oracle,vb.net,html, javascript,css