Duh!Msaada, kazi yoyote inahitajika.
Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano.
Elimu: Bachelor's degree(IT)
Experience: 5 years. - Network and System Administrator, IT Support, Call Center Support, Maintenance, Software Installations,Pre-sales Engineer etc
Location: Dar, but ready to relocate
Alikuwa amejiriwa ila kampuni imeshindwa kurenew mkataba kutokana na Corona(Makao makuu ya kampuni yapo Makerani na hawajatoa go ahead ya kuongeza mkataba).
Nafasi anazoweza kufanya: Technical Support, IT Manager, System Administrator, IT Officer, IT Sales/ preSales, etc
Msaidie kijana huyu, ushauri unapokelewa.
mawasiliano 0656852204, yupo tayari kwa kazi yoyote.
Asee programming inahitaji practice kuliko ata iyo networking wakati mwingine.... Uliposema "unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako" ndiyo practice yenyewe 😂😂😂 sema tu labla ulikua hujui....Halafu kusema kwamba ukimaster programming basi maswala ya network hayakupi tabu huo ni uongo, unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako na ukawa mtaalamu,programming its all about coding. Lakini vitu kama Network Architecture, etc. Vinahitaji practical kwa kiasi kikubwa, huwezi kuwa Network Engineer kwa kukaa mezani na laptop yako tu.
Maskini hapo na unakuta unajua ku type barua tu kama mie hapa😂😂😂Kuna muda unajuta kusoma hizi course ukishawaambia nmesoma computer science watu wanategemea unajua kila kitu..its not easy computer science ni Pana sana jamani
Aah wapiiMaskini hapo na unakuta unajua ku type barua tu kama mie hapa😂😂😂
Nitengenezee program basiAah wapii
Kwahio nikikujibu siwezi kucode ndo ninakua sawa na wewe unae weza kutype tu?. Basi sawa tuko sawa.Nitengenezee program basi
[emoji3516]Maskini hapo na unakuta unajua ku type barua tu kama mie hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Husemi uongo kabisa mkuu😂[emoji3516]
TENA WE' YAWEZEKANA HATA KU_TYPE BARUA HUJUI WEWE-
AU NASEMA UONGO MKUU?
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Usisafananishe programming na Networking!!Halafu kusema kwamba ukimaster programming basi maswala ya network hayakupi tabu huo ni uongo, unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako na ukawa mtaalamu,programming its all about coding. Lakini vitu kama Network Architecture, etc. Vinahitaji practical kwa kiasi kikubwa, huwezi kuwa Network Engineer kwa kukaa mezani na laptop yako tu.
Usisafananishe programming na Networking!!
Networking ni rahisi ukilinganisha na programming!!.
IT wengi wanakimbia programming maana ni ngumu zaidi!.
Unaweza jifunza programming ukiwa umekaa tu that's true lakini kuna kitu kinaitwa projects!. Thamani Programmer inaonekana kwenye project alizofanya.. networking unaweza soma pia mezani na baadae ukafanya practical kuhakikisha tu ulicho kisoma kiko vipi!. Mi sijasomea networking but nimefanya kazi wiki moja tu tayari naelewa maswala ya ku ping servers! Ku manage LAN .. ikitokea ishu ya networking naitwa na nna solve!. Sasa mchukue mtu wa networking mwambie a troubleshoot Tatizo kwenye App au Website kwa kupitia CODE!...