Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

Jack of all trades, master of none. This point is valid mkuu
Tunajadili hatubishani, hakuna IT aliye full bro, Chuoni sawa unasoma vitu vingi ila lengi ni kupata basics tu. Huwezi kuspecialize kwenye Database, Networks, Software Development, Telecom Systems, etc. Noc Engineer pale vodacom anahitaji kujua kutengeneza website ili iweje? Anahitaji kuwa na basic tu, vilevile Web Designer anahitaji kujua kuconfigure router ili iweje? Anahitaji kuwa na idea tu(basics).
 
Halafu kusema kwamba ukimaster programming basi maswala ya network hayakupi tabu huo ni uongo, unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako na ukawa mtaalamu,programming its all about coding. Lakini vitu kama Network Architecture, etc. Vinahitaji practical kwa kiasi kikubwa, huwezi kuwa Network Engineer kwa kukaa mezani na laptop yako tu.
True. Thanks.
 
Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano.

Elimu: Bachelor's degree(IT)
Experience: 5 years. - Network and System Administrator, IT Support, Call Center Support, Maintenance, Software Installations,Pre-sales Engineer etc
Location: Dar, but ready to relocate

Alikuwa amejiriwa ila kampuni imeshindwa kurenew mkataba kutokana na Corona(Makao makuu ya kampuni yapo Makerani na hawajatoa go ahead ya kuongeza mkataba).

Nafasi anazoweza kufanya: Technical Support, IT Manager, System Administrator, IT Officer, IT Sales/ preSales, etc

Msaidie kijana huyu, ushauri unapokelewa.

Mzeee baba jiajiri
 
Tunajadili hatubishani, hakuna IT aliye full bro, Chuoni sawa unasoma vitu vingi ila lengi ni kupata basics tu. Huwezi kuspecialize kwenye Database, Networks, Software Development, Telecom Systems, etc. Noc Engineer pale vodacom anahitaji kujua kutengeneza website ili iweje? Anahitaji kuwa na basic tu, vilevile Web Designer anahitaji kujua kuconfigure router ili iweje? Anahitaji kuwa na idea tu(basics).
Mkuu,tumeshaondoka kwenye zama za specialization.Get as many deep skills as you can or else you become obsolete.
 
Back
Top Bottom