Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa


hivi na wewe umekosa kazi au mbona unaoknekana unajibishana nao sana au na wewe unatafuta umashuhuri hapa??katafute kazi ufanye wewe achana nao hao wenyewe hawakujibu wewe unajiongelesha tuu kama taahira ,unaboa bana
 

Jamani wala msihangaike kujibishana na hawa wanaonaojiita wanatafutia watu kazi. Npo jirani na hii plot 54 Ursino hiyo sehemu hamna hata mtu kulikuwa na kampuni ya kuuza wine walishahama sasa kuna mafundi wanafanya ukarabati. nashanga jamaa wanasema kuna watu 50 wamefika ofisini kwao leo na wanawa interview hamna kitu.
 

ACHA UONGO WEWE SISI TUPO HAPA NI KWELI WALIKUWA WANAUZA WINE HAPA LAKINI WAUZA WINE WAMEHAMIA MBEZI BEACH NA SASA SISI NDIO TUPO HAPA HAO MAFUNDI WAMESHAMALIZA KAZI NA SASA SISI NDIO TUMEOCUPY SINCE MARCH KAMA UKO HAPA NJOO HUKU NDANI ULIZA PELAZ NA CAROLINE

HAPA NJE KUNA WATU ZAIDI YA 30 WANASUBIRI KUWA INTERVIWED WEWE UNAZUNGUMZIA URSINO YA MUSOMA NINI???

karibu ndani kama uko hapa
 

Wewe ndio muongo hapao nje hamna hata mtu mmoja mafundi bado wanakarabati na bado kuna kibao cha wauza wine hapo mimi nipo hapa namba 58 njoo kama kweli
 
Wewe ndio muongo hapao nje hamna hata mtu mmoja mafundi bado wanakarabati na bado kuna kibao cha wauza wine hapo mimi nipo hapa namba 58 njoo kama kweli

OK WACHA NITOKE NJE ILA 58 NAFIKIRI NI KULE ADDIS IN DAR AU??NJOO HAPA 54 PLEASE JINA LAKO NI NANI TENA WEKA NAMBA YAKO YA SIMU HAPA

AU TEMBELEA WWW.PATAKAZI.NET
 
hivi na wewe umekosa kazi au mbona unaoknekana unajibishana nao sana au na wewe unatafuta umashuhuri hapa??katafute kazi ufanye wewe achana nao hao wenyewe hawakujibu wewe unajiongelesha tuu kama taahira ,unaboa bana

I didn't know they are charging you to read my comments. Well then, what do you care?

This means huna kazi na ndio maana unafuatilia kila ninachoandika au unanitaka kimapenzi. Well, nimeoa mama
 
Huyo jamaa aliesema anaifahamu hii kampuni hata jinas lake amejiita mikataba feki.hadi hapo unataka nini vha kujua ili uelewe lwao ni moja.wezi wakubwa siku hizi wanatumia akili bu hapa wamekutana na great thinkers .
 

Hahahah.......jf mnamajibu cmchezo
 

Very Stupid thread

Huwezi kudangaya watu wenye akili zao

St.upi.d
 
Watanzania njaa zitatuua, acheni wizi kama wa marry kibona na wenzake, mi nadhani hawa jamaa watakuwa na uhusiano wa karibu na Marry KIbona na kazi zake feki za Sudan kusin HUYO ANAYEJIITA SUZAN NDIO MWENYEWE HASA.

HAIBIWI MTU HAPA
 
Haya wale wasaka ajira...kazi kwenu...

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
UTAKUWA UNATUMIA MODEM WEWE NA MODEM IMESIHA HELA MIMI NIKO KWA WEBSITE SASA NAANGALIA OFISI MPYA YA PATAKAZI ILIVYOPANGIKA ,

ACHA UTANI KWA MAMBO YA MSINGi
Acha uhuni,modem gani unazungumzia?acha kuwalisha watu matango pori,usidhani tuna IQ ndogo kama zako,website gani inafanya kazi?hamjielewi
 
My prince;Hapa kuna kila ishara ya uwizi.

Mi janga la kitaifa hili.
 
Nimekuta mjadala huu umefika mbali lakini swali langu halijajibiwa...!!! Labda tu kwanza nikiri wazi kwamba webiste ya www.patakazi.com kweli ipo na ina-exist! Aidha, nikiri tu kwamba kwenye hiyo website ni kweli job posts zipo...hilo halina ubishi. Lakini, lazima niseme wazi kwamba kuna tofauti kubwa sana, tena sana sawa na mbingu na ardhi kati ya website yenye matangazo ya kazi na watafutiaji watu kazi (Recruitment Agencies). Hata hapa JF, kila uchao kuna matangazo ya kazi kama ilivyo hapo patakazi.com! Hata hivyo, JF hawamtafutii mtu kazi bali wanatumika kama ubao tu wa matangazo. kampuni inayotafutia watu kazi (recruitment agency) lazima watakuwa na client wao, angalau mmoja. Na ndio maana niliiuliza nitajieni CLIENT wenu angalau mmoja aliyepo hapa Tanzania. Tuchukue mfano mdogo tu! Infinity Communication pale Ursino Estate wanatafutia watu kazi na miongoni mwa clients wake ni Tigo na Zantel. Kuna Erolink, nao moja ya client wake ni Vodacom. Kuna nft consultancy; namiongoni mwa clients wake ni Tigo, Ecobank, Total n.k. Kuna Spanco, one of its client ni Airtel. Huwezi kuwa unatafutia watu kazi halafu usiwe na clients wanaokutuma kuwatafutia wafanyakazi.


Hivyo basi, narudia swali lile lile...kama mnatafutia watu kazi, basi tutajieni at least ONE of your POTENTIAL CLIENTS. Kwavile imeonekana hamuaminiki basi njia pekee ni ile ya kutaja clients mnaofanya nao kazi. Kuwa na webiste ambayo ndani yake kuna job posts bado haithibitishi kwamba mnatafutia watu kazi.
 


Nawashukuru sana kwa kutusaidia watanzania tunaotaabika kutafuta ajira mimi nimewatumia CV yangu kama siku tatu nne hivi zilizopita naamini mtaifanyia kazi na mtanijibu kama nastahili kupata kazi kwenu au la!

Asanteni Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…