Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

kama tangazo lako ni la uongo mi naomba jf iwachukulie hatua za kisheria, watu tuko serious nyie mnaleta utani. tajeni ofisi zenu ziko wapi mi naomba kabla tangazo la kazi halijawekwa lipitiwe kwanza na viongoz wa jf na ijulikane ni kweli ndo liwekwe.
 
If that's its true then its gud thing keep it up!Mtawasaidia watanzania wengi wenye matatizo ya jinsi ya kupata ajira!
 
jamani y mnakuwa mnawafanya watu km wajinga wakati mnajua kabisa,we a serious na kutafuta kazi? Huu ni ushenz**
 
acha njaa ,mtawasumbua vijana wanaosumbuka mtaani wakati hakuna kazi zaidi ya utapeli!
 
Ingekuwa TUSI linauma kama jeraha ningewatukaneni ila kifupi tu nyie ni "MATAPELI"
 
sielewi majitu km haya hayajiulizagi kwanini JF inaitwa home of great thinkers, paparapapara unakuja inajiita et patakazi, dem yu
 
Reactions: amu
Wekeni numba za sim tuwapigie ili nilete cv yangu physically kama kweli mnamaanisha
 
NAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO,KIPEKEE WALE WOTE WALIOFIKA OFISINI KWETU TUMEFURAHISHWA NA NYIE WOTE.SASA TUKO MKOANI MWANZA,MBEYA NA ARUSHA.

RAI YENGU KWA WATANZANIA BADO TUNASAIDIA KUPATA KAZI KArIBUNI BILA KUSITA
 
NAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO,KIPEKEE WALE WOTE WALIOFIKA OFISINI KWETU TUMEFURAHISHWA NA NYIE WOTE.SASA TUKO MKOANI MWANZA,MBEYA NA ARUSHA.

RAI YENGU KWA WATANZANIA BADO TUNASAIDIA KUPATA KAZI KArIBUNI BILA KUSITA

arusha ofisi zenu zipo
sehemu gani?
 
arusha ofisi zenu zipo
sehemu gani?

Ebwana hiyo Kampuni haipo serious: Hamna maelezo ya kutosha, Hamna company Profile, Hawajaweka aina ya kazi ambayo inabidi tuombe, location ya Kampuni yao ilipo wala mawasiliano mengine zaidi ya email! Yaani kwa kifupi mambo yao ni Mizevezo na Vankuva!! Namuunga Mkona Jamaa aliesema Uwongozi wa JF tunaomba uchukue jukumu na hatua ya hili kuwa wanakagua maelezo yanayoandikwa nakuyathibitisha kabla ya kupostiwa humu ndani maana kuna Watu wengine wanazingua they 're jst here 2 play p'ples mind. Wanaharibu sifa na malengo ya hili Jukwaa nakupoteza maana halisi ya Neno "GREAT THINKERZ" Ni hayo tu Waungwana, anaeujua Uwongozi wa JF plizzz awafikishie ujumbe huu.
 
Hawa nitawafananisha na africa magaribi kuna mataperi wa hatari kama unabisha ingia netlog hala ujisajili hapo kama ni mwanaume utatongozwa na mabinti wanajiita ni mayatima wanamiliki pesa ambazo ziko nje yanchi nyingie
 
lakini kweli nitapata kazi kama nikituma hiyo cv yangu maana sijaelewa wengi wanjf wanasema ni matapeli sasa itakuwaje
nisaidieni patakazi

Umetokea mkoa gani???dada hii ni Dar es salaam,watu wanaweza hata kukuuza wewe mwenyewe funguka eeeehhh,au umetoka mkoa,ukaishi Hostel na class tu.......jijin hapa Utaumia
 

ofisi zenu ziko wapi nilete cv? tho nishatuma kwa email pia
 
wewe dogo unatafuta nini huku? Nimesha kwambia usipokee na kushiriki kila kitu. Mengine yasikilize, yatazame na kuyaacha kama yalivyo.
 
yaani sina mbavu,wape vidonge vyao
 
kweli mjini shule yataka macho kufumbua na masikio kusikia poleni matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…