pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,655
- 6,356
Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza?
Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya
Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku kuliko hawa wapya