Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

naona magamba wanabwabwaja kuwa hatujui kingeredha...wao ndio chanzo cha yote haya...
 

suala la yeye kujua au kutokujua kiingereza kama mheshimiwa sio suala eti kisa bungeni wanatumia lugha ya kiswahili na kingereza hata kama hajui kiingereza na siku hiyo wakitumia lugha ya kingereza atapewa kifaa cha kutafsiri huoni kwenye mikutano mikubwa ya ma rais mbali mbali wakiwa hawajui english wanapewa machine maalum ya kutafsiri kwa lugha yao au wewe ulifikiri ni nini wanasikiliza mziki lol
so kama ma rais wakubwa kutokujua english sio inshu hata yeye mbunge sio inshu.....
Nawasilisha

Sasa kama hajui Kiingereza kwanini hapo alitumia Kiingereza, mimi naona si vyema kwa mheshimiwa kwenda katika majukwaa yanayosomwa dunia nzima kuandika lugha asyoijuwa vuzuri. Au na Kiswahili hakijui?

Wenzake huwa wanatafuta wakalimani.
 
Inasemekana Aliishi Ulaya na Marekani sasa sijui alikuwa shamba boy maana inawezekana hakuwa na nafasi ya kuonana na watu ndio maana hakunufaika ni uko kuishi ulaya.

Si kila mtanzania aliyeishi/anayeishi Ulaya au nchi zinazotumia Kiingereza kama lugha mama anafahamu lugha hiyo..kumbuka kufahamu lugha fulani kiufasaha ni mpaka mtu huyo awe na "interest" ya kuitaka kuifahamu. wengine wakishajua "basic English" inayoleta maana katika ujumbe uliokusudiwa inatosha kabisa kwao. na kujifunza lugha ngeni ukubwani ni kitu kigumu sana kama hufahamu.
 
inasemekana aliishi ulaya na marekani sasa sijui alikuwa shamba boy maana inawezekana hakuwa na nafasi ya kuonana na watu ndio maana hakunufaika ni uko kuishi ulaya.

kuishi ulaya sio sababu ya kujua kiingereza mbona kuna wazungu kibao wanaishi tanzania na hawajui kiswahili??
Zaidi ya salamu na basic.. Tu
 
sugu sasa akue aache kuhangaika kushare his strategies kwenye social media na afanye kwweli

atafute audience na dr salim kwa lessons learnt
 
Hiyo kijana ni typing mistake na si kutokujuwa, tazama i na u ziko wapi kwenye keyboard, lakini umesoma ya Mheshimiwa huko juu?
Hahaha! Na mie nimefurahi kukusahihisha manake wewe huwa unatupatia sana!..

Ya Mh nimeyasoma ameandika ki bongo fleva hivyo msamehe bure mama mpendwa..
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

dr.mkwer.e kutoka bagamoyo kichwa nazi mbona kingeleza chake hakijasaidia kupunguza achilia mbali kuondoa mdororo wa uchumi..acha bange ya chooni mtu mzima wewe.kuwa na mama wa aina yako familia itakua ya kipuuzi kama uongozi wa sharobaro mrisho.
 
Back
Top Bottom