KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
Habari wadau, kuna jamaa nimemaliza nae chuo anafanya kazi kwenye kampuni binafsi ya Ujenzi, kwa sasa ni miezi 3 hajalipwa mshahara analalamika ila bado yupo tu huko huko.
Zimetoka nafasi za kazi serikalini nimemwambia atume CV zake eti ananiambia kule serikalini ameambiwa wanalipa hela ndogo sana!! Tatizo kwa sasa anatukopa sana sisi jamaa zake tulosoma nae na anasema anamadeni mengi.
- Naomba kufahamu hivi ni sahihi kwa kampuni kupitisha miez 3 bila kulipa mishahara kwa wafanyakazi wake?