Kampuni kupitisha miezi 3 bila kulipa mishahara

Kampuni kupitisha miezi 3 bila kulipa mishahara

Inategemea na hiyo sekta binafsi huyo jamaa yako ana diploma au degree inawezekana sekta binafsi mshahara ukachelewa kama kampuni inafanya tenda za serikali inawezekana kucheleweshewa kulipwa na kama wao wana akiba ndogo wakashindwa kulipa kwa wakati wafanyakazi
 
Ya kampuni yao inatenda za serikali tu, na amesema zote azijalipwa toka mwaka jana . Kampuni nyingi za ujenzi zinazotegemea kaz za serikali ambazo hulipwa na serikali kama hazina njia ya ziada ya kuingiza kipato natumai wafanyakazi wake wamo kwenye majanga kama haya.
 
Inaelekea mshahara wake wa mwezi mmoja unaweza kumsustain miezi sita ndo mana hatoki huko
 
Hayo mambo mengine siyo ua kuomba ushauri bwana unatufanya tuache mambo yetu kusoma upuuzi huooo...huyo jamaa anaonekana tuu mwizi wa hiyo kampuni pia mjanja mjanja sana mpaka kawaingia na nyie mnampa ela kirahisi hivyooo!!!
Iyo kampuni ambayo inapitisha ezi 3 bila mshahara na wafanyakazi wametulia tuu uliona wapi labda sio hapa tanzania na watendaji ndio wao wanaiona inavyoingiza faida...mwambie aache usanii mpaka kwenu wote mabw***

Umeona tena kampuni ya ujenzi nondo,misumari,mabati njenje?jamaa anawagema hadi maswahiba
 
Inaelekea mshahara wake wa mwezi mmoja unaweza kumsustain miezi sita ndo mana hatoki huko

Inawezekana ila kutolipwa zaidi ya miez mitatu kwa kweli inamfanya mtu asijielewe.
 
Back
Top Bottom