Kampuni Itakayoipa CCM Helcopter hii hapa

Kampuni Itakayoipa CCM Helcopter hii hapa

Anamtesa nani zaidi ya wale ndugu zako wananchi mafukara vijijini wasio na maji safi, huduma thabiti za afya, madawati ya kukalia, miundo mbinu imara ya barabara?

Anamtesa nani?

Nyerere miaka 24, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.

Walifanya nini kwenye afya?

Haya hapa mambo ya Kikwete kwenye afya.

1)





Magari ya wagonjwa (Ambulance) aina ya Hyundai ambayo yamekabidhiwa kwa Kituo cha Afya Kitomanga na Zahanati ya Milola, Lindi vijijini



Wananchi wakiwa nje ya Zahanati ya Mkange, Singida Vijijini, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Kinana alipokagua zahanati hiyo mpya jana.

Nikuongeze?



 
Sawa, Slaa alishatuhabarisha kuhusu hili na baadae mapovu yalipoanza kuwatoka wote tukathibitisha kuwa ni kweli na sasa mambo hadharani ...
CHINA POLY GROUP CORP. ni kampuni ya kichina inayomilikiwa na serikali ya CHINA, Kampuni hii pamoja na mambo mengine inajishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi, vile vile kampuni hii kama nilivyosema kuwa pamoja na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi vile vile ndiyo iliyopewa tender ya ujenzi wa PHASE 4 hapa KINYEREZI-DAR ES SALAAM-TANZANIA.

Kampuni hii itatoa hizo chopa kwa SERIKALI ila zitafanya kazi za CCM hii ni baada ya deal kugundulika mapema ambapo DR. Slaa ( Mungu Amlinde Sana ) alitoboa siri mapema.
 
Pia kumbuka fedha za Escrow zinaweza kufanya zaidi ya hizo chopa!

Fedha za escrow zako?

Nnauhakika hata maana ya escrow huijui, na kwanini hizo pesa zikawekwa escrow account hujui, unafata mkumbo tu.

Kama unajuwa elezea hayo mawili.
 
Nyerere miaka 24, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.

Walifanya nini kwenye afya?


Haya hapa mambo ya Kikwete kwenye afya.

misaaada ya mr ombaomba mmejitahidi kuitumia, manake mmezoea kuiba nyie. Hapa itakuwa baada ya cdm kuwabana
 
Nyerere miaka 24, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.

Walifanya nini kwenye afya?

Haya hapa mambo ya Kikwete kwenye afya.





Nikuongeze?





Hiyo michoro mmekula /mfisadi kiasi gani? Maana imekuwa kawaida mnachukua chenu kwa kazi hiyo ya kuandaa michoro huku pesa ya Ujenzi hakuna .
 
inanikumbusha kiingereza cha jana cha huyo dhaifu huko china, hivi kumbe kiingereza cha JK ni majanga, maana alikuwa anasema tutututututututu, the thethe the fofoma president ofofofof Tanzania, duh hadi ilibidi nizime TV

Source ITV Habari

Mpaka mwanangu alicheka sanaaaa...ni shideee kiingilishi huyu Prof. Kikwete
 
Anamtesa nani zaidi ya wale ndugu zako wananchi mafukara vijijini wasio na maji safi, huduma thabiti za afya, madawati ya kukalia, miundo mbinu imara ya barabara?

Anamtesa nani?

Unaongelea madawati? umelala doro. Sasa hivi watu tunaongelea maabara kila shule ya sekondari, wewe upo enzi za Mkapa bado.



Rais Kikwete akikata utepe kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela​
 
Hiyo michoro mmekula /mfisadi kiasi gani? Maana imekuwa kawaida mnachukua chenu kwa kazi hiyo ya kuandaa michoro huku pesa ya Ujenzi hakuna .

Muulize huyu aliyepewa mkasi na Kikwete alikuwa anazindua nini?

 
[QUOTE=Ikwanja;
Hakuna Mwafrika aliezaliwa hapa Africa anaeweza Kudai kuwa Kiingereza ni lugha yake ya asili. Kiingereza ni lugha ya kikoloni na ni lugha kama nyingine, haimpunguzii wala kumuongezea mtumiaji thamani aliyonayo, kinachowasumbua wengi ni ushamba na kushabikia lugha za kitumwa.
Putin, Rais wa China, Rais wa Brazil na viongozi wengi tu wakuu duniani hawazungumzi kabisa Kiingereza na mbona mambo ya nchi zao yanakwenda? Wabongo wengi wana kasumba za kishamba kwani hata mtu akitumia kiingereza kwenye halaiki atabezwa na kuonekana much know, imenikuta mara nyingi nikiwa na wageni wasiozungumza kiswahili huku wakiwa na ngozi nyeusi. Mkisikika mnaongea kiingereza watu wanakuwa uncomfortable kabisa na nyie wakati ni lugha ya kawaida sana kama zilivyo za kwetu ila kwa vile tu wamejijengea fikra kuwa ni lugha ya daraja fulani la watu, basi wanaichukulia tofauti sana. Nahisi na wewe ni kati ya hao watu kwa sababu haiwezekani wenye lugha yao(Kiingereza) wanamsikiliza na kumuelewa halafu wewe leo hii uje useme hana weledi wa hiyo lugha.
 
Hii ni mali ya watanzania na sivinginevyo. JK ameenda China kama rais wa Tanzania na si kiongozi wa CCM. Tutaenda mahakamani kupinga hili kabisa.
 
Nyerere miaka 24,
Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.

Walipeleka maji safi vijiji vipi na kwa mpango upi?

Hii ya Kikwete ya mwaka huu tu:

Serikali imetenga zaidi ya bilioni 270 kwa ajili ya miradi ya Maji
vijijini kwa kipindi cha mwaka 2014/2015 chini ya mpango wa utekelezaji
matokeo makubwa sasa ambapo vijiji 1,239 vitanufaika na huduma hiyo.

Source:
BILION
236 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI | Magazeti ya leo| Tanzania News
|Tanzania Today

Una akili sana, so brief and clear
 
Gas ya Tanzania bado haijaanza kuuzwa nje ya nchi, kumbuka hilo. Na itapofikia wakati wake wa kuwa na "production" ya kuweza kuuzwa nje, itauzwa tu. Maandalizi yanakwenda vizuri sana.

Nakushangaa unauliza kuhusu helicopter ambazo hata watu binafsi wanazo, tena nyingi tu.

Haya hujayaona na yapo zamani?:


Wewe ni watchmen wa Gesi? Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Inayosafirishwa kila uchao inaenda kwenye majaribio au?
 
Ukishaona unamuamini mtu kwa kila kitu kila siku basi ujue una tatizo.
 
Back
Top Bottom