Sababu wanakula humo labda, makampuni yanayofanya biashara na serikali ni ya viongozi wa serikali hiyo hiyo labda, au wana kamisheni humo labda, hawawezi kukata tawi walilokalia!!!!!why serikal yetu inahofia kufanya biashara???wenzetu wanaweza ati
inanikumbusha kiingereza cha jana cha huyo dhaifu huko china, hivi kumbe kiingereza cha JK ni majanga, maana alikuwa anasema tutututututututu, the thethe the fofoma president ofofofof Tanzania, duh hadi ilibidi nizime TV
Source ITV Habari
inatia kinyaa
Unawaonea tu CCM! kama serikali yao imeshindwa kununua madawati na kujenga maabara mashuleni wataweza kuanzisha na kumiliki kampuni ya kutengeneza kondom?lini serekali yetu nayo itaweza kumiliki kampuni ata ya kutengeneza wembe ccm janga la tanzania
Lakini hawawezi kununua madawati na kujenga maabara mashuleni!CCM inauwezo wa kuleta chopa aina yoyote iliyopo duniani Kumbuka hilo.
Gas ya Tanzania bado haijaanza kuuzwa nje ya nchi, kumbuka hilo. Na itapofikia wakati wake wa kuwa na "production" ya kuweza kuuzwa nje, itauzwa tu. Maandalizi yanakwenda vizuri sana.
Nakushangaa unauliza kuhusu helicopter ambazo hata watu binafsi wanazo, tena nyingi tu.
Haya hujayaona na yapo zamani?:
![]()
Achana na haya mambo ya Jakaya kucheza na matoi, tuzungumzie issue serious.
CCM wanapewa hizi helcopter kwa consideration ya namna yoyote kati ya hizi.
1. Ni zawadi tu.
2. Serikali inalipia.
Ziara ya JK China imewachanganya sana CDM na kambi nzima ya ukawa. Hivi Sasa kila mtu na kila mwanachama wa CDM habari ya mujini ni hiyo. Hakuna rangi mtakayo acha kuiona kwa JK mwaka huu, atawatesa sana kwa kukubalika kwake Kila nchini na kimataifa na walio wengi.
CCM ina uwezo wa kununua helicopter yoyote inayouzwa duniani.
Hizo helicopter za China zitatuletea misiba tu ...................!!!!!!
inanikumbusha kiingereza cha jana cha huyo dhaifu huko china, hivi kumbe kiingereza cha JK ni majanga, maana alikuwa anasema tutututututututu, the thethe the fofoma president ofofofof Tanzania, duh hadi ilibidi nizime TV
Source ITV Habari
Anamtesa nani zaidi ya wale ndugu zako wananchi mafukara vijijini wasio na maji safi, huduma thabiti za afya, madawati ya kukalia, miundo mbinu imara ya barabara?
Anamtesa nani?