acha kupaniki kumbe ukweli unauma tulia sindano ikuingie mpuuzi wewe
Rais Kikwete akikata utepe kuonyesha ishara ya ujenzi wa awamu ya tatu ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles Tizeba, Balozi wa Uholanzi nchini Jaap Frederiks, Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka wa viwanja vya ndege nchini Injinia Suleiman Suleiman na Mwenyekiti Kamati ya Uchukuzi ya Bunge Peter Serukamba.ccm mmezoea kuhongwa na wachina tuu
bora kuwa mlemavu wa kiungo kuliko kuwa mlemavu wa akili kama ww huku ni kuishiwa hoja ccm wameshazoa kuhongwa na wafadhili hamna uwezo wa kununua chopa huo ndo ukweliNa wewe nenda kahongwe ili uepukane na haya madhila ya kuendeshwa kama msukule na Mzee Slaa.
View attachment 196408Kwi kwi kwi, ni panic mimi? au mwingine huyo.
Mnani zaidi ya kuwabwaja na kuhororoja?
CCM yafanya hivi:
Rais Kikwete akikata utepe kuonyesha ishara ya ujenzi wa awamu ya tatu ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles Tizeba, Balozi wa Uholanzi nchini Jaap Frederiks, Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka wa viwanja vya ndege nchini Injinia Suleiman Suleiman na Mwenyekiti Kamati ya Uchukuzi ya Bunge Peter Serukamba.
Nyerere miaka 24, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.
Walipeleka maji safi vijiji vipi na kwa mpango upi?
Hii ya Kikwete ya mwaka huu tu:
Serikali imetenga zaidi ya bilioni 270 kwa ajili ya miradi ya Maji vijijini kwa kipindi cha mwaka 2014/2015 chini ya mpango wa utekelezaji matokeo makubwa sasa ambapo vijiji 1,239 vitanufaika na huduma hiyo.
Source: BILION 236 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Zimetengwa 270b kwenye maji,escrow wamepiga 200b, achilia mbali BMK, Richmod, Kagoda, Meremeta, EPA et al wamepiga b kibao..
Wewe una akili kama za kina Chifu Mangungo, aliekuwa anabadilishana shanga na dhahabu huku akishangilia...
Wacha porojo wewe.
Escrow unaijuwa au unakurupuka tu? nini maana escrow account?
Richmond? hujuwi kesi iliendaje? mbona Dowans hukuitaja? mlitaka kumdhulumu akawapeleka mahakama za kimataifa mpaka leo mnalipa deni.
Hiyo dhahabu alikuwa akibadilishana babu yako na vioo, akijiona sura, aaaah poa kabisa:
![]()
Nani amekwambia kampuni ya kifamilia ya Chadema itachukua nchi? Kwa ukomavu gani walionao? Bado hakijatokea chama cha upinzani cha kuweza kuiongoza hii nchi. Najua ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli.
Kwi kwi kwi, ni panic mimi? au mwingine huyo.
Mnani zaidi ya kuwabwaja na kuhororoja?
CCM yafanya hivi:
Rais Kikwete akikata utepe kuonyesha ishara ya ujenzi wa awamu ya tatu ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles Tizeba, Balozi wa Uholanzi nchini Jaap Frederiks, Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe, Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka wa viwanja vya ndege nchini Injinia Suleiman Suleiman na Mwenyekiti Kamati ya Uchukuzi ya Bunge Peter Serukamba.
ccm na mazuzu wote ndo wenye
mawazo kama yako, kama sisimizi. Nchi hii inaweza ongozwa hatana na
nyani wa porini.
Mtahenya safari hii, hakuna vya mteremko!!!
Kwani JK ni mwingereza?
Hii ni kati ya zile flyover tulizoahidiwa? au hii ni 'Intro' tu, bado 'duction' ?
Anyway, naona unatukana tu...basi nipe maendeleo ya kesi hizo za ufisadi? Nani kafungwa, kufutwa kazi au kalipa? Nani kapandishwa cheo?
Kahongwe na wewe kama ni rahisi, unangoja nini?