Hansard
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 842
- 247
Hoja yenye utata ni kwanini zawadi za serikali zichakachuliwe na kupewa ccm ?
Serikali ya CCM
Hoja yenye utata ni kwanini zawadi za serikali zichakachuliwe na kupewa ccm ?
Ziara ya JK China imewachanganya sana CDM na kambi nzima ya ukawa. Hivi Sasa kila mtu na kila mwanachama wa CDM habari ya mujini ni hiyo. Hakuna rangi mtakayo acha kuiona kwa JK mwaka huu, atawatesa sana kwa kukubalika kwake Kila nchini na kimataifa na walio wengi.
Hivi unajua unachokisema?
why serikal yetu inahofia kufanya biashara???wenzetu wanaweza ati
Ziara ya JK China imewachanganya sana CDM na kambi nzima ya ukawa. Hivi Sasa kila mtu na kila mwanachama wa CDM habari ya mujini ni hiyo. Hakuna rangi mtakayo acha kuiona kwa JK mwaka huu, atawatesa sana kwa kukubalika kwake Kila nchini na kimataifa na walio wengi.
Yani embu fikiria tungeomba wachina 20 tu waje hapa kuendeleza kiwanda cha NYUMBU jeshini na kuchukua vijana waliohitimu VETA tufundishwe tu hata kutengeneza power tillers, vibajaji na pikipiki vipuli na mashine kama za kusaga na kukoba nakadhalika, ingekua bora kiasi gani?lini serekali yetu nayo itaweza kumiliki kampuni ata ya kutengeneza wembe ccm janga la tanzania
Watende wao wakitenda wenzao huwa mwao.
Mlianzisha mchezo wa helikopta na CCM nao wanakuja nazo 5 muone shughuli yake
Kwa hiyo ni kweli kuna chopa za gas zinakuja
Mlianzisha mchezo wa helikopta na CCM nao wanakuja nazo 5 muone shughuli yake
Yani embu fikiria tungeomba wachina 20 tu waje hapa kuendeleza kiwanda cha NYUMBU jeshini na kuchukua vijana waliohitimu VETA tufundishwe tu hata kutengeneza power tillers, vibajaji na pikipiki vipuli na mashine kama za kusaga na kukoba nakadhalika, ingekua bora kiasi gani?
Hizi nazo zilitoka wapi CDU?
![]()
Canada wamekaza zaidi sheria za ugaidi, uwe macho!Watende wao wakitenda wenzao huwa mwao.
CCM inauwezo wa kuleta chopa aina yoyote iliyopo duniani Kumbuka hilo.
Nafahamu hilo, ndo nauliza hizi za sasa ndo mmebadilishana nao kwa gas??