Kampuni ipi imebobea kuchimba visima virefu vya maji Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ipi imebobea kuchimba visima virefu vya maji Dar?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by toomuch, Oct 5, 2011.

 1. t

  toomuch New Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hawa jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Nasikia wapo shwari sana. Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya survey na kisha kuchimba). Na kama wapo wengine basi chapisha majina yao bila kusita. Hivi diameter ya kisima kikubwa kabisa (kulingana na mabomba yaliyopo sokoni) ni ipi? Mfano kama nahitaji kisima kwa ajili ya biashara (kama nahitaji maji mengi sana) nahitaji kuchimba kisima cha diameter kiasi gani? Ni kweli kwamba diameter nayo itategemeana na uwingi wa maji eneo husika kama ilivyo kwa urefu wa kisima?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  To name just a few

  Aqua Drill Tech Company
  Victoria BoreHoles Drilling Company
  Al-ttai Water Well Drilling Company
  Maji-Tech Engineering Limited
  Aqua Well Drilling Company
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Water Wells Services Ltd(wapo maeneo ya kisutu)....just to top up mkuu
   
 4. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ipi reliable kati ya hizo zilizotajwa (yaani ni ipi inachimba visima bora)
  Bei za visima ina-range katika sh. ngapi? (Kuanzia ku-survey, kuchimba, ku-install pumps na mitambo mingine hadi kuanza kutoa maji)
  Ipi nzuri windmill au water pump ya kutumia umeme (umeme wa solar au ngeleja/ fuel)?
  Inazidi 10M?
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  sasa mkuu unataka kila kitu utafuniwe! hangaika na wewe, yaani umetafutiwa mchumba then unataka hata kumnanii ufundishwe, we vp mkuu.
   
 6. P

  Pepo Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama hujui ni her ukajinyamazia, kna mwengine hajua lolote kuhusiana uchimbaj visima ila ana wazo la kufanya hii biashara, huon hii thread ndo itakayo mpa mwanga?!
   
 7. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Nenda DDCA, kuna mtu anaitwa Songea pale, wana vifaa vya kisasa kabisa wangine magumashi
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Na pale maji Ubungo nafikiri wana kitengo hicho.
   
 9. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  NENDA DAVIS AND SHIRTLIF WAPO KAMATA

  ILA WACHIMBAJIO WENGINE WA VISIMA ni wanaume mida ya usiku kwa sana urefu inategemea na driller ya mwanaume muda mwingine mbali na mchaNA WANACHIMBA MADIMBWI YAANI SHOW FUPI
   
 10. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mtafute Dr Kaaya pale Geology Department UDSM
   
 11. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nenda norplan ndo kila kitu
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  yahh! changamsha kichwa!!
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,710
  Trophy Points: 280


  mmmmmmhhhhh
   
 14. t

  toomuch New Member

  #14
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu asanteni kwa maoni yenu, ila bado nipo kwenye njia panda -kusema ule ukweli kampuni ni nyingi zilizotajwa na kila kampuni huenda inasifa zake. kama kuna mwenye data (faida za kuitumia kampuni fulani basi) asisite kutumwagia mchele kwenye kuku wengi
   
Loading...