Kampeni ya kuikataa Vodacom

kosa la kabendera ni nini, mumetuaminisha kuwa sio raia mna wasiwasi an uraia wake, mumeona uraia hana hatia, sasa mumembakizia mambo mengine ambayo hayana kichwa wala miguu ati habari uliyotoka miezi iliyopita katika jarida la economist, wakati mambosasa katuaminisha kuwa ni suala la uraia, hivi kumuhoji mtu uraia inachukua muda gani, mumekwenda mkamata kama vile ni jambazi sugu na ambush juu, anapigia simu jamaa zake awaeleze kabla ya kutoka nje ili muweze mchukua, mumezuia mawasiliano yake, mlitaka mmupoteze kama Ben saa 8, ukitaka swala la uraia, basi nchi ni hii ni hadzabe peke yake ndio raia wengine turudishwe tulikotoka, hamuwezi mkatesa watu namna hii halafu mkisemwa ati ooh sijui nini, kuwe na huruma na kuweni na ubinadamu jamani, wote tumeumbwa na tutakufa lakini usimtendee binadamu mwenzako hivyo, mie mwenyewe ni ccm haswaa, lakini tufanye ubinadamu, tunalalamikiwa nje, mitandaoni na mpaka mitaani kisa kutesa tesa watu, fanyeni mambo ya maendeleo na hata wapinzani nao watupe big up, sio mambo ya kunyanyasa raia kama wako ukimbizini,
 
Asante mkuu.
Yaani nilikwazika sana ningekuwa na ushahidi mzuri ningewafungulia kesi.
dada hanna pole sana aisee, mie situmii huo mtandao siku nyingi, baada ya kuona makato yao ni makubwa sana, kuna siku customer care waliniboa sana naomba msaada wao wananijibu ufala, nilipomaliza kuongea nao niliitoa nikaiweka kweye choo na kuflash, sikujua kama wana ujinga zaidi ya huu
 
Kuna lifanyakazi LA voda lilivujisha mawasiliano yangu kwa aliyekuwa boyfriend wangu, likafanya hadi nikaachwa.
Mmmmxew yamekaa kimbea mbea Sana, hayana siri.

Baby....
Ulikua na kamchepuko kengine mpka akakuacha?
 
Bora mitandao ya mabeberu ambao hawawezi kukubali kutumika kukublock ili utekwe na mapolisiCCM kama VODA walivyofanya kwa Kabendera.
si walizuia baada ya kuona zito alipleka ushahidi alipo aliyekuwa msaidizi wake kwani polisi walidai ati hawajui, kwa hiyo sasa ukitekwa ccm inawaamuru tcra wazime mtandao wako ili upotezwe mazima kama yule baba EU maskini, RIP
 

Uchafu nauleta wa kutosha!

Deal with it!

Otherwise hama,kama upo huna budi kukaa karibu na mavi,nakunya nayajaza and aint nuttin’ you can do about it!

Umuhimu ninao kwangu mimi binafsi sio wewe or anybody else dummy!

I couldn’t give a fvck more or less!

End-to-End is my thing,kama unaweza break it you dumb-dumb!

Otherwise stay on your lane!

Ukuda naleta sana,wapigie simu waje!Waambie wawe careful maana wanaweza wasirudi!

Kampeni inaendelea na brand ya Vodacom tushainyea vya kutosha na hamtufanyi lolote!

More or less watu wamejenga chuki na Vodacom rightfully so!

Hatufanyi kitu eti sababu Crimea katushauri tufanye.

We don’t need your stupid advising services!Hizo services zako za ushauri mpeleke Jiwe!

Otherwise shut up your butts like the rest of’em!
 
Kwa maelezo haya (kama ni ya kweli) halafu tukaendelea kutumia VODA then sisi sio wazima kichwani
 
Je mnauhakika gani kwamba mitandao mingine ina usalama wa kutosha?Tupeni uhakika ndio tufanye maamuzi sahihi.Airtel na TTCL serikali ina share pia.
 
si walizuia baada ya kuona zito alipleka ushahidi alipo aliyekuwa msaidizi wake kwani polisi walidai ati hawajui, kwa hiyo sasa ukitekwa ccm inawaamuru tcra wazime mtandao wako ili upotezwe mazima kama yule baba EU maskini, RIP
Hawa VODA hawafai kabisa mkuu.
 
kwanza voda hawajacomfirn kwamba ni wao lakini pia hata kama ni wao m naona sawa kwani hiyo mi jizi ilitaka kuihujumu nchi yetu
 
Nimeshaitupa kwenye dustbin line ya voda
 
Mm ni mdau wa kitambo, ila ngoja na mm nifunge virango mana ya kwangu hayaelezeki , kumbe tuko wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…