Tatizo ni serikali yetu sio kampuni mkuu mbona we ukikamatwa na askari unatulia na kutii sheria nini voda wenye nchi wakitaka yao we huna say na ndo mana una fake id mkuu
Makampuni yapo kwenye position of power pia!
Yanatakiwa yakiona a bully anataka kuonea the powerless kabisa yasimamie haki ya the powerless!
Wewe na mimi ni wananchi wa chini kabisa tupo powerless kabisa,lijitu kama regime linataka kutuonea walao haya makampuni yasaidie haki!
Atleast hata kwa kukataa kutumiwa kufanya uonevu kwa niaba ya regime!
Mimi nikishikwa kwa chochote ni so powerless,walao makampuni yapo position of power zaidi yetu sisi!
Yasimame kwenye haki kwa mwananchi wa chini kabisa!
Usifananishe Vodacom na mtu powerless kama mimi na wewe!
Vodacom haiwezi onewa na serikali kiivyo,yana muscle kisheria na ki-connection ndani na nje ya nchi,maana sisi ndio wateja wao,tukifa wao watafeli!
Haki ni haki,na mnyonge wa chini ambao tupo wengi mwisho wa siku tuna-prevail!
Vodacom hata kama watu wataendelea kutumia kama ilivyo lakini mioyoni inachukiwa!Kuchukiwa mioyoni ni mbaya zaidi!Competitor anaweza capitalize hapo hapo Vodacom akawa number 2 in a minute!
Utawala huu utaondoka Vodacom itakauwepo,ila watu hawataisahau ilivyotumia unyama ku-act kama agent wa uonevu.
Wanachi hawasahau uonevu.Vodacom is evil kukubali hili hata kama kwa sheria!Wanadamu wana utashi,huyu Mu-Egypt angesimamia ubinadamu!
Tunajua regime ni evil,mbaya zaidi ni pale tunapoona tuliemuamini tukampa moyo wetu wa mawasiliano anashirikiana na the biggest evil kumfanyia kazi ya uonevu ina pain zaidi!
Sijui nani atatutetea kwenye hii prison country!
Sijui na sijui twende wapi!