Naanza kutengeneza bango la tupa laini ya Vodacom TanzaniaMi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
VODA TUPA KULEEKwani taarifa hii amekupa wewe,kitoe kule.
Afadhali ghali lakini BORA.. vifurushi vyao vya data vina speed ya hali juu. ukilinganisha na hayo mamitandao mengine, Tigo ndo kabisaa.Jana nilijaribu kutumia tigo kwenye YouTube, aisee nilikesha. Yaan kitu cha kuangalia dakika 10 nilitumia dakka 45.Ina play dakika moja, inaganda kwa dakika 5.Halafu inaplay tena.Najiulizaga sAna wanaotumia voda wanamudu vip vifurushi vyao, kwani ni ghali sana
kila siku nasema ukimwamiini mwanasisa ni sawa sawa kabsa na .kumwamini shetani........Ona huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?
Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?
Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.
Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
Shindwa pepo in the name of JPM.Watanzania wengi ni vichaa...
Miye hata nikipigiwa simu kwa line ya VODA. SIIPOKEIOna huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?
Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?
Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.
Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
Miye hata nikipigiwa simu kwa line ya VODA SIIPOKEI.Yaani hata sijawahi kuwaza kutumia Vodacom, yaan hawajawahi kunishawishi kwa lolote, wanaringa sana