Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

Ni kutokana na na ripoti ya SFO iliyowatia matatani Kitillya, Shose Sinare na Sioi
1.jpg
Kampeni Meneja wa Lowassa alikua Fredrick Tulway Sumaye, former PM
 
Hivi yule jamaa pale jangwan aliyekuwa anaunganisha clip za mwalim zile za WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO WASIPO YAPATA NDANI YA CCM WATAYATAFUTA NJE ...Ya CCM
anaitwa sijui john Mrema yeye ni nani maana alikuwa abanduki kwa mzee edo
 
Mchumi Tumbo tu yule...
 
Simply nina maana wanaomuunga mkono awe kiongozi wa juu Nchini.kupata kura zile alizopata sio mchezo...inaonesha dhahir kwamba anakubalika na anao uwezo wa kuongoza.1st jiulize ni kwa nini ansisitiza kama unao ushahidi nenda mahakamani na kama huna Shut Up.

Yule ni mwizi kama wezi wengine, Kama Una ushahidi mpeleke Change, Mpeleke mzee wa msoga, Mpeleke Membe, Mpeleke Mbowe na hadi Zitto Kabwe maana wote hawa mmewatuhumu kufanya ufisadi bila ushahidi.
Ukimtetea Lowassa watetee hawa pia
 
MBONA HUMTAJI NA YULE JAMAA WA KUPIGA MADILI; KILA SAKATA LAZIMA UMKUTE:-

(!) MEREMETA
(2) EPA
(3) RADAR
(4) ESCROW
(5) N.K NK.

Hakuna haja ya kumtetea MTU kwa kile unachoamini, itikadi wala Dini.
Fisadi ni mwizi kama mwizi mwingine, sinduguyo,usikubali kutumika nae.
Wote mnaowataja ni majambazi hakuna sababu ya kumtetea Mamvi wala Chenge
 
Ni kutokana na na ripoti ya SFO iliyowatia matatani Kitillya, Shose Sinare na Sioi
1.jpg
Mimi kama mtanzania sijaona faida ya kuwepo TAKUKURU kwani tangu taasisi hii ianzishwe kazi yake kubwa ni kuwashughulikia watu ambao wametofautiana na serikali lakini ikiwa wewe ni kipenzi cha serikali basi hata ule rushwa kiasi gani TAKUKURU wanakaa kimya.Tumeona ununuzi wa rada,makaa ya mawe kiwira,mikataba ya reli,bandari,ukwepaji kodi,mitambo ya kufua umeme tanesco nk. takukuru wapo kimya.Kama ni taasisi ya kuzui wanakuwa wapi mpaka watu waibe ndio wachukue hatua.Mtu anatia hasara serikali alafu anaenda okota makaratasi hospitali wakati wapo watu wameiba kuku wanasota magerezani.
 
Jiandae kuona na kujua kazi zao sasa, acha kuleta historia hapa wakati hata wewe part yako hukuifanya kwa ufanisi
 
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.

Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.

Lowassa aling'olewa Uwaziri Mkuu lini? Biashara ya hati fungani kati ya serikali, Stanbic na washirika wake huko Ulaya ilifanyika lini? Waziri Mkuu alikuwa nani? Rais alikuwa nani?
 
Lowassa aling'olewa Uwaziri Mkuu lini? Biashara ya hati fungani kati ya serikali, Stanbic na washirika wake huko Ulaya ilifanyika lini? Waziri Mkuu alikuwa nani? Rais alikuwa nani?

Meneja wa kampeni wa Lowassa nani?

Sioi kwa Lowassa ni nani?
 
chenge,lowasa na jk hawa walipaswa kupelekwa mahakani kujibu mashtaka kama kweli tumedhamilia kulikomboa taifa hili....
 
Daa hali si shwari CDM sasa wamekua watetea ufisadi,kwakweli tusubiri ila huyu lowasa atawa cost z just the matter of tym

lakini hadi sasa wanatumbuana majipu ndani ya CCM ina maana ndiko kwenye uozo zaidi.
 
Hakuna haja ya kumtetea MTU kwa kile unachoamini, itikadi wala Dini.
Fisadi ni mwizi kama mwizi mwingine, sinduguyo,usikubali kutumika nae.
Wote mnaowataja ni majambazi hakuna sababu ya kumtetea Mamvi wala Chenge

MBONA HUYU BWANA MAPESA HAGUSWI???

AU MNAMUOGOPA.

Chenge na Katiba.jpg
 
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli
Ni great kwa nafisadi wenzake na makanjanja tu...kwangu mimi ni FISADI ALIYEKUBUHU! ....Mangula alifanya kitu sahihi na kwa muda muafaka...Mbowe akafanya biashara.
 
Kibongobongo mawaziri wastaafu heshma yao hutunzwa hata kama alikuwa mdokozi.
 
Back
Top Bottom