Kwahiyo unasema hata zile tirion 1.2 zilizopigwa na kina dau hata lowasa anahusika?Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli
Taarifa ya kwanza ya TAKUKURU kuhusu saga la Richmond ambayo ilichakachuliwa na Hosea
ilimtaja Lowassa kama muhusika mkuu na alitoa maelekezo kupindisha procedures muhimu
hivo hana jinsi kinachofuata ni kubeba ndoo kwenda Keko kunamsubiri tu maana hakuna namna nyingine
hapo hakuna mwenye jibu hata mmoja....niliulza swali hilo ktk kijiwe cha kahawa kimoja nusura nitolewe jicho....hahajajaaasasa kama lowasa hakuhusika na richmond yanini viherehere vya wabunge wa cdm wakiongozwa na mbowe walipokuwa wakisema lowasa ni mchafu?
kwani kalazimisha mlikodi?Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili
Hakia akikamatwa Lowasa JK hachomoi hata kama akisema hakuchomekaSiyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
umeandiki nini? jk lazima panga limparue.Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Hakia akikamatwa Lowasa JK hachomoi hata kama akisema hakuchomeka
umeandiki nini? jk lazima panga limparue.
swissme
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Na mzee wakuzungusha mikono nadhani anahusika Zaidi.Jipu kuu ni mzee wa msoga
Pamoja na richmonduli.Jipu kuu ni mzee wa msoga
ENDELEA KUJIONGOPEA. The end is near. mark my words comrade, MARK MY WORDS.Kwa LOWASSA hakuna atakayethubutu....huna ushahidi Shut Up
Utapata kisukari bure kuhangaika na jkJK. alijua kila kitu, lazima aguswe hata kwa kuguswa tu.
Longa Mpenda nchi.... " ndugu yangu tuna wachungaji au Maaskofu nchi hii wote ni wanganga njaa tu...
Haya yote walikuwa wanayafahamu ili mradi washibishe matumbo Yao na vizazi vyao wakayapindisha Maandiko na kumwita EL mtukufu Nabii na ndiye atakayekomboa wanyonge! Pamoja na viongozi wa UKAWA nao wakaliaminisha Taifa kwa ulaghai wa hali ya juu sana kuwa huyu mtu ni Msafii na tena ndiye atakayelivusha Taifa hili kuelekea Nchi ya Asali na Maziwa.... Eeee Mungu wee hebu endelea kuufunua ukweli wa Mambo haya.....
Mambo ya Dudu yanaingiaje humu kwenye habari za Siasa?Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.