Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

Hebu ona jamani halafu unakuta wachungaji na maaskofu walikuwa wakibubujika hadi machozi eti wanamlilia Mungu amwezeshe kibaka aingie ikulu!!!! LO!

Longa Mpenda nchi.... " ndugu yangu tuna wachungaji au Maaskofu nchi hii wote ni wanganga njaa tu...
Haya yote walikuwa wanayafahamu ili mradi washibishe matumbo Yao na vizazi vyao wakayapindisha Maandiko na kumwita EL mtukufu Nabii na ndiye atakayekomboa wanyonge! Pamoja na viongozi wa UKAWA nao wakaliaminisha Taifa kwa ulaghai wa hali ya juu sana kuwa huyu mtu ni Msafii na tena ndiye atakayelivusha Taifa hili kuelekea Nchi ya Asali na Maziwa.... Eeee Mungu wee hebu endelea kuufunua ukweli wa Mambo haya.....
 
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli
 
Mimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!
Vipi hutamani siku ya MKWERE kupelekwa huko?
 
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli

Kuwa Pro kuna maana nyingi wewe, pro kwenye mambo yenu ya ulaji.... Ili mwendelee kuila nchi....

Na mifano mingi kama hiyo....
 
Simply nina maana wanaomuunga mkono awe kiongozi wa juu Nchini.kupata kura zile alizopata sio mchezo...inaonesha dhahir kwamba anakubalika na anao uwezo wa kuongoza.1st jiulize ni kwa nini ansisitiza kama unao ushahidi nenda mahakamani na kama huna Shut Up.
 
CHADEMA saizi wamebaki kutete mafisadi baada ya kumchukua Fisadi Papa. Hizi habari za kutumbuliwa watu majipu na kushikishwa ndoo zinawaumiza sana CDM sioni hata wakiita press conference wala kuandamana kama zamani
 
Anayesubiri Lowassa Mahakamaani hajui seikali Magufuli anachopambana nacho !!
Watuhumiwa wa EPA ESCRO wako wazi kuliko lakini hana jeuri kwa sababu kila
Mbunge wa Ccm akiwemo.yeye Maguf aligawaiwa kwa ajili ya kampeni

sembuse Richmond amabayo hata Lowassa hajahusika wala hakutajwa na bunge !!

Mtasuburi sana !
sasa kama lowasa hakuhusika na richmond yanini viherehere vya wabunge wa cdm wakiongozwa na mbowe walipokuwa wakisema lowasa ni mchafu?
 
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli

Hao pro sasa hivi kawatafute wanaogopa hadi kujionyesha hadharani wanajua tumbuatumbua iko njiani maana ni part ya UNHOLY ALLIANCE ya wezi na mafisadi wasomi na wafanyabiashara
 
Takukuru inatakiwa wachinguzwe haiwezekani Gazeti moja lilipinga sana kwa serikali kukopa Stanbic bank wao walikaa kimya kama hamna kitu tushaibiwa ndio wanakuja kuchunguza kwa hiyo Takukuru hawawezi kuzuia..hao wanawakamata mahakimu na kesi za 10,000 huku mabilioni yakiteketea hao ndio wa kychunguzwa kwanza..
mkuu ww ndo umeongea haiwezekan miaka yote walale tuu wakat mambo yalifanyika wao wakiwepo aisee
 
Yaani Lowassa alikampeniwa na fisadi? Kweli ndege wafananao huruka pamoja
 
Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili

MBONA HUMTAJI NA YULE JAMAA WA KUPIGA MADILI; KILA SAKATA LAZIMA UMKUTE:-

(!) MEREMETA
(2) EPA
(3) RADAR
(4) ESCROW
(5) N.K NK.
 
Mimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!

MBONA CHENGE HUMTAJI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili

Wadau inasemekana hata ubungo Tanesco ni yake hivi kuna ukweli hapo?
 
Taarifa ya kwanza ya TAKUKURU kuhusu saga la Richmond ambayo ilichakachuliwa na Hosea
ilimtaja Lowassa kama muhusika mkuu na alitoa maelekezo kupindisha procedures muhimu
hivo hana jinsi kinachofuata ni kubeba ndoo kwenda Keko kunamsubiri tu maana hakuna namna nyingine
 
Back
Top Bottom