TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Ni kutokana na na ripoti ya SFO iliyowatia matatani Kitillya, Shose Sinare na Sioi
JK. alijua kila kitu, lazima aguswe hata kwa kuguswa tu.
lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili
Ni kutokana na na ripoti ya SFO iliyowatia matatani Kitillya, Shose Sinare na Sioi
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Takukuru inatakiwa wachinguzwe haiwezekani Gazeti moja lilipinga sana kwa serikali kukopa Stanbic bank wao walikaa kimya kama hamna kitu tushaibiwa ndio wanakuja kuchunguza kwa hiyo Takukuru hawawezi kuzuia.
Magufuli lazima ainyooshe nchi.Ok Yehodaya ngoja niipe muda mkuu Magufuri nina imani nae sana tuu naona ana dhamira ya kweli kwa Watanzania...ukiangalia miradi yoote iyo tunayoisikia kuna ufisadi wa kutisha hawa jamaa si wangepiga hodi mapema ili kudhibiti..
uko tayari hata kusema uongo kwa MUNGU kuwa mkapa na kikwete siyo mafisadi.kwa taharifa yako hata MBINGU zinajua kuwa Mkapa na Kikwete ni MAFISADIMimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!