Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

Nawashangaa hata swala la bashiri Awalle linakuzwa na Maccm!!!

yeye alikuwa ndio Manager waliokopa ni serikali na unategemea aliyeibiwa ashitakiwe !!

Labda kama una uhakika alishirikiana na hao wakopaji !

Hapa mbwembwe tuu !!
 
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.

Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
wapiii!! angekuwa efficient angekomba na kisafisha hazina kwa ulafi
 
Jk inabiJk uwe juhaQUOTE="FaizaFoxy, post: 15788094, member: 43551"]Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.

Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.[/QUOTE]
 
TAKUKURU wako very technical wanaanza taratibu kuwadaka walioko bondeni kabla ya yule mkuu wao aliyeko mlimani. Si muda mrefu watamfikia wanamlia timing tu na yeye anajua siku zake za kudakwa zinahesabika.Nasikia halali kwa hofu.Presha zinampanda mara kwa mara.
mama yako amesha acha kulala kwa huyo mzee,maana habari hadi za usingizi wake unazo..
 
Jk inabiJk uwe juhaQUOTE="FaizaFoxy, post: 15788094, member: 43551"]Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.

Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
[/QUOTE]
Where the efficiency you talk about the former prez??
 
yaani haiwezekani eti tunaambiwa SFO wamechunguza wakiwa huko wanasema hawa ni wezi wakati tuna kikosi cha kuzuia rushwa hapa mimi binafsi sina imani na Takukuru ukopaji wa stanbic bank ulipingwa sana mpaka na wahariri leo eti ndio wanafungua majalada ya mashitaka...Takukuru ichunguzwe kwanza.
 
Meneja wa kampeni wa Lowassa nani?

Sioi kwa Lowassa ni nani?

1. Regardless meneja wa kampeni wa Lowassa ni nani au Sioi kwa Lowassa ni nani, Lowassa hakuwa Waziri Mkuu wakati serikali inafanya biashara ya hati fungani na Benki ya Stanbic. Vilevile, Lowassa hakung'olewa Uwaziri Mkuu kwa tuhuma za kula mlungula katika uuzaji wa hati fungani za serikali. Labda utuambie kuwa hata baada ya kung'olewa Uwaziri Mkuu, aliendelea kuiongoza serikali dhaifu ya Jakaya Kikwete kwa "remote control". Je, unataka tuamini kwamba Jakaya Kikwete alikuwa Rais dhaifu kiasi hicho?

2. Irrespective of mahusiano kati ya Lowassa na watuhumiwa wa utakatishaji pesa ambao walikuwa wafanyakazi wa Stanbic, tuletee ushahidi unaoonesha kuwa Lowassa ndiye aliwatuma kuhonga maafisa wa serikali ili kupata biashara ya hati fungani na kufanya uhalifu wa kutakatisha fedha. Hivi mumeo akituhumiwa kuiba kazini kwake, unataka tuseme wewe ndiye umemtuma akaibe?

3. Jifunze kujenga hoja. Kuna kozi ya bure online. Itakusaidia. Learn How to Reason and Argue: Coursera - Free Online Courses From Top Universities
 
Mimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa
wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!
Poole sana!! Utasubiri sana kuona mimba ya kiume ikizaliwa mtoto!! Wewe shukuru Mungu sasa HV yupo anayetupigania JPM mwenyewe, anachimbua mauozo km bahari ya Hindi ya chama chenu ficiemu, wala hatakuja musa ENL.

Kuwaza na kutamani dhidi ya Lowasa is too low!! Huna hoja, wala haitakaa itokee, subiri!! Magu mwenyewe anaamini ya kuwa, Lowasa amesingiziwa na kutukanwa kwa mambo.mengi mno bila ushahidi wowote wa maana na msingi. Anajua vyema kuwa, mifisadi ya ficiemu nilikuwa inatumia jina lake ili kujifichia huko huku ikiendelea kufisadi Mali za umma tu, mfano; mishahara hewa ktk halmashauri na serikali juu, nssf inayounguruma sasa, nhc, bot, wabunge wa ficiemu kwenye kamati mbali mbali, mikataba ya migodi, gesi na mafuta, n.k.. Tusubiri tuone mtakavyoendelea kuchinjwa, huku Lowasa akiendelea kupeta free.
 
Hizo ni ndoto za alinacha

Sawa hata kama hatafikishwa mahakamani lakini hana hadhi tena katika jamii kwasababu ya kuhusika kwake na ufisadi mkubwa uliotendeka chini ya utawala wake . Hizo hela alizoiba mwisho wake atadhulumiwa na hao wakina Subash wanaomfichia na hata wanae na wajukuu hawatakuja kuziona!!!
 
Mimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!
Huyo ataenda na sim tank kabisa ndoo haimtoshi.......
 
Ni kutokana na na ripoti ya SFO iliyowatia matatani Kitillya, Shose Sinare na Sioi
1.jpg
Meneja kampeni na picha ya gazeti ndiyo ina maana gani? Tutajie jina tumjue huyo fisadi aliyemkampenia fisadi.
 
Nyie mnaosema JK Kutoka msoga hachomoki mumesahau kwamba rais ana kinga hata kama Ameiba live akaonekana? Kama magu amedhamiria kupeleka watu kisutu Kikwete hamtamuona huko
Selo ya KEKO labda Lowassa maana hana kinga.
 
Huyo ataenda na sim tank kabisa ndoo haimtoshi.......
Hiyo siku ya kumpeleka Lowassa Kisutu kamwe haitafika.Nakushangaa sana kwa kujuwa kutumia jf lakini huelewi maana ya neno SHUT UP...sikutukani bali hayo maneno ameyatumia saana Mh.Lowassa.angalia picture kwa ukubwa hata kama ni ndogo.
 
Hiyo siku ya kumpeleka Lowassa Kisutu kamwe haitafika.Nakushangaa sana kwa kujuwa kutumia jf lakini huelewi maana ya neno SHUT UP...sikutukani bali hayo maneno ameyatumia saana Mh.Lowassa.angalia picture kwa ukubwa hata kama ni ndogo.
Hahaaaaaaa................kisu na mfupa hata kina Kitillya walijua haitafika lakini ikafika haya huyo bwana labda malaika.
 
Unavyosema kuhusu kitilya na wengine wa EGMA hiyo ni danganya toto...simple question...hivi unadhani Mramba na Yonna wangefungwa kama sio wahisani kuweka shinikizo na kutishia kukata misaada...haya pamoja na kufungwa sasa hivi wako wapi....baada ya mwaka wakimaliza adhabu uchwara panapo uhai watakuwa wapi....naibu waziri mambo ya ndani alikuwa wapi kipi kilimsibu sasa ni waziri anayesimamia nini.Tusubiri bunge la bajet tusikie mapya.
 
Back
Top Bottom