Kampeni Kupinga 'chenji' ya fedha za Radar wasipewe tena Serikali

Zed

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
435
257
WanaJF tuache kulalamika tuchukue hatua! Fedha za radar serikali inazotaka irudishiwe ni dhuluma tupu! Tuandike emails, sms , piga simu hata kwa kiswahili kupinga serikali isipewe fedha ilizoitoa kwa ufisadi. Hapa nimeweka anwani za BAE wanashughulikia namna fedha hizo zinaweza kurejeshwa kwa wananchi wa Tanzania ili ziwanufaishe. Andika kwa mfano: Mimi ni mtanzania napinga sina imani na serikali kufanya matumizi bora tafadhali fedha hizi zirudishiwe umma kupitia NGOs

Leonie Foster, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383777 Mob: +44 (0)7540 630168
Leonie.foster@baesystems.com

K
ama hujaona hii thread tafadhali bofya hii link hapo chini. Lengo letu ni mmoja:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-not-return-radar-money-to-tz-government.html
 
Asante sana ndugu yangu kwani nimepiga simu UINGEREZA nilikuwa najaribu kutafuta anuani ya Media relation kwenye website
yao lakini sikuipata ili niwatumie email kuwaunga mkono na kuwaomba wasirudishe pesa to the same people who have robbed us in the first
place. nawaombeni wana jf wote tuandike email to support BAE for their superb decision of returning the money to the Tanzania
people instead of very corrupted Tanzanian Govt Officials. ukitaka kujua maofisa wa Tanzania ni matapeli eti membe anasema tunataka
waturudishie pesa ili tukanunue vitabu vya mashuleni, tukajenge madarasa na kujenga nyumba za waalimu Tangu lini mmeanza kuwajali
waalimu na wanafunzi namna hii wazazi na waalimu wamekuwa wakilia kila siku na nyie mlikuwa kimya leo ghafla.imekuaje mafisadi nyie.
 
WanaJF tuache kulalamika tuchukue hatua! Fedha za radar serikali inazotaka irudishiwe ni dhuluma tupu! Tuandike emails, sms , piga simu hata kwa kiswahili kupinga serikali isipewe fedha ilizoitoa kwa ufisadi. Hapa nimeweka anwani za BAE wanashughulikia namna fedha hizo zinaweza kurejeshwa kwa wananchi wa Tanzania ili ziwanufaishe. Andika kwa mfano: Mimi ni mtanzania napinga sina imani na serikali kufanya matumizi bora tafadhali fedha hizi zirudishiwe umma kupitia NGOs

Lindsay Walls, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383074 Mob: +44 (0)7793427582
Lindsay.walls@baesystems.com
Leonie Foster, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383777 Mob: +44 (0)7540 630168

Let me work on something.
 
Tupo pamomoja! kwa gharama yoyote ile nitahakikisha wezi akina kikwe na wenzie hawagusi hizo pesa!!
 
unaweza kutumia mfano mdogo wa email niliyotuma kama ukipenda kama ifuatavyo:

Hi,
As a Tanzanian citizen, i want to express my support to BAE SYSTEMS for its decision to return the money to the Tanzanian people through NGO's instead of the same tainted corrupt Tanzanian Govt officials.
Thank you for your cooperation.

Your sincerely,
Taja jina lako,
 
I am aware the British Foreign Minister in charge of African Affairs, Henry Bellingham, was in Tanzania last month and expressed concern over the BAE-radar controversial settlement at a press conference in Dar Es Salaam. He said that this was a very serious issue and that he would take it to the board when he gets back to London. Membe has said that if BAE pays the money through a charity organization, then that institution would not be allowed to conduct its activities in the country. This is a threat. The money was stolen from the people (not from the government) and should go back to the people (not the government).

Nimeshatuma email yangu. We need to send as many emails as we can. Nime draft barua hapa kwale wanaotaka kutuma. Mkuu kama unaweza iweke hapo juu kabisa. Ikiwezekana kusambaza hata kwenye sites nyingine kama Facebook na Twitter. Mwanakijiji, umesema you're working on something please let us know.

Email: Lindsay.walls@baesystems.com

Re: The Settlement of the £29.5 Million to Tanzanian People

I understand that BAE Systems has formed an advisory board on Tanzania chaired by Lord Cairns in line with the settlement agreement with the UK 's Serious Fraud Office (SFO), approved by the UK's High Court in December 2010. As part of the settlement BAE Systems agreed to pay the sum of £29.5 million for the benefit of the people of Tanzania.

I am aware that a group of Tanzania all party parliamentarians have visited Britain to press for the payment of the settlement of 29.5 million pounds through the Tanzania's Government rather than Non- Governmental Organizations (NGOs).

As a Tanzanian citizen, I am monitoring this issue very closely and I want to express my strong support to BAE System for its decision to return the money to the Tanzanian people through NGO's instead of the same tainted corrupt Tanzanian Government officials. Please bear in that this all party parliamentarians visit in Britain is costing us already.

Thank you for your cooperation.

Your sincerely,

Taja jina lako,
 
I am aware the British Foreign Minister in charge of African Affairs, Henry Bellingham, was in Tanzania last month and expressed concern over the BAE-radar controversial settlement at a press conference in Dar Es Salaam. He said that this was a very serious issue and that he would take it to the board when he gets back to London. Membe has said that if BAE pays the money through a charity organization, then that institution would not be allowed to conduct its activities in the country. This is a threat. The money was stolen from the people (not from the government) and should go back to the people (not the government).

Nimeshatuma email yangu. We need to send as many emails as we can. Nime draft barua hapa kwale wanaotaka kutuma. Mkuu kama unaweza iweke hapo juu kabisa. Ikiwezekana kusambaza hata kwenye sites nyingine kama Facebook na Twitter. Mwanakijiji, umesema you're working on something please let us know.

Re: The Settlement of the £29.5 Million to Tanzanian People

I understand that BAE Systems has formed an advisory board on Tanzania chaired by Lord Cairns in line with the settlement agreement with the UK 's Serious Fraud Office (SFO), approved by the UK's High Court in December 2010. As part of the settlement BAE Systems agreed to pay the sum of £29.5 million for the benefit of the people of Tanzania.

I am aware that a group of Tanzania all party parliamentarians have visited Britain to press for the payment of the settlement of 29.5 million pounds through the Tanzania's Government rather than Non- Governmental Organizations (NGOs).

As a Tanzanian citizen, I am monitoring this issue very closely, I want to express my strong support to BAE System for its decision to return the money to the Tanzanian people through NGO's instead of the same tainted corrupt Tanzanian Government officials. Please bear in that this all party parliamentarians visit in Britain is costing us already.

Thank you for your cooperation.

Your sincerely,

Taja jina lako,

Bila ya shaka.
 
Aisee!! Asanteni for such useful posts.... i am forwarding to all my e-mail list...
Thank you... Naamini inabidi saana kufanya follow up hata kwa wale
wakaribu kuwakumbusha the need of all this!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
natamani watanzania wooote wangekuwa na uwezo kutumia mtandao watume sms lukuki kwa hawa jamaa.
anyway,,tulio na access tutume nyingi kadiri iwezekanavyo tuwahamasishe hata wadogo zetu walioko vyuoni/mashuleni
 
Nimesikiliza Radio wapo, inaonekana Job Ndugayi na timu yake wamepewa majibu ya BAE kutokubaliana na ombi lao la kutaka kurejesha fedha hizo kupitia serikalini. Sababu kuu iliyoelezewa ni kuwa serikali iko 'corrupt' na hivyo BAE hawana imani na jinsi hizo fedha zitakavyotumika. Kwa mujibu wa mtoa taarifa -Ryoba (akihojiwa na Mwandishi wa Radio Wapo), huo ugeni wa tz utaendelea na mazungumzo
 
email tutume pia kwa wale wanaochangia bajet yetu wasitoke hela zao mbaka serikal itakapokuwa imeondoa matumiz yaso lazima kama alivyonena wazir mkuu kamil Mbowe,CDM IPO JUU
 
We are just making some connections with our some of our friends in the British Parliament; I hope we will have something before Thursday.
 
Thanks for useful post, but we have to convince other jf members by PM them to do so, maana naona mwamko mdogo ktk hii thread.
 
Hii ni move nzuri sana. Cha maana hapa ni kulifanyia kazi mara moja!
PJ mimi tayari nimeshatuma, naombeni tuwatumie wadogo zetu hii email ili hili suala likomeshwe. Wandugu tutume kwenye connections zetu huko facebook and at any platform ambako wengi wanakutana mathalan facebook, twitter, mchuzi blog, mwananchi website nk.
Wake up guys, this is the hour of salvation.
 
http://issamichuzi.blogspot.com/2011/06/tanzania-mps-in-london-on-bae-paymet.html
K
ila siku naendelea kujiuliza mantiki ya viongozi wa serikali yetu na chama tawala CCM.Maamuzi na vitendo vyao wakati mwingine sio tu vinauma na kutia uchungu bali vinatia kichefuchefu,aibu na kulidhalilisha taifa letu na Watanzania kwa ujumla.Soma habari hiyo na ujumbe uliokwenda Uingereza kufuatilia kulipwa pesa za radar.Hivi kulikua na umuhimu wa kutuma ujumbe mkubwa kama huo wa Naibu speaker na wabuge kufuatili tatizo hili!!!!!???????Mawazo yangu nafikiri swala hilo lingeliweza kutatuliwa na ubalozi na wanasheria pamoja na maofisa wa mambo ya nje.Nafikiri ujumbe huo ungelianzia kitengo cha kuzuia rushwa na vyombo vya sheria Tanzania na kuhakikisha hatua za kisheria zimechukuliwa kwa wahusika upande wa Tanzania kwa sakata hilo kabla ya kukimbilia Uingereza.NAHOJI MANTIKI NA MAADILI YA SERIKALI YETU KWA JAMBO HILI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom