Hatua ya Pili ya Kupinga Chenji ya Ununuzi wa Radar isipitie Serikalini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatua ya Pili ya Kupinga Chenji ya Ununuzi wa Radar isipitie Serikalini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zed, Jul 6, 2011.

 1. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana JF, hatua ya kwanza ya kuandika kwa BAE kupinga fedhaa hizi wasipewe serikali imekua ya mafanikio makubwa, hata wabunge walionde huko wamekiri (soma daily news online): Daily News | Chenge cleared of radar scandal

  "Ms Kairuki expressed concern over reports that some Tanzanians have been e-mailing the company, advising it not to refund the money through the government."​

  Sasa tunaingia hatua ya pili: Julai terehe 19, 2011, Kamati ya Mahesabu ya Umma ya Bunge la Uingereza itakutana kujadili vipi fedha hizi ziwafikie watanzania! Serikali ya Tanzania imepania kupeleka ujumbe wake kabambe huko, tena baada ya kuonyesha dharau kwa kumsafisha Chenge bila kuonyesha ni kamati gani ya bunge ilimhoji Chenge na kueleza alivyopata vijisenti vyake. 1Million $! Badala yake wametaja vidagaa katika ufisadi!(soma dilynews on line):: Daily News | Chenge cleared of radar scandal

  Sasa nawaomba wa JF na watanzania wote tuiandikie kamati ya Mahesabu ya Umma ya Bunge la Uingereza kupinga fedha hizo kupitia kwa serikali inayokingia kifua mafisadi na tusiyo na imani nayo. Tuombe fedha hizo zipelekwe kwenye asasi ya kiraia za watanzania. Hapa naweka anwani na emails za kamati ya Mehesabu ya Umma ya Bunge la Uingeraze! Tuma ujumbe kupinga kwa moja ya email hizo au hata zote:Aluta Continua!

  Committee contact details
  Committee of Public Accounts
  House of Commons
  London SW1P 3JA

  Telephone: 020 7219 3274
  Fax: 020 7219 2782
  Email: pubaccom@parliament.uk

  [h=3]Committee staff contact details[/h]Philip Aylett - Clerk of the Committee
  Telephone: 020 7219 3273
  Email: aylettp@parliament.uk

  Lori Verwaerde - Senior Committee Assistant
  Telephone: 020 7219 3274
  Email:verwaerdel@parliament.uk

  Michelle Garratty - Committee Assistant
  Telephone: 020 7219 4099
  Email: garrattym@parliament.uk

  Ian Blair - Committee Assistant
  Telephone: 020 7219 5708
  Email: blairi@parliament.uk

  [h=3]Press and Publicity contact details[/h]Alex Paterson - Parliamentary Media Officer
  Telephone: 020 7219 1589
  Email: patersonalex@parliament.uk

   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni wazo zuri lakini ungekuja na design ya ujumbe tutakaotuma ili kuwe na uniformity kama ilivyokuwa last time maana wengine tunaweza kutuma ujumbe kama gazeti la mzalendo mwingine ataandika kifupi No chenji ikawaletea usumbufu wazungu.
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hongereani sana Watanzania wenzagu mmefanya kazi kubwa kwa email zenu ingawa unaweza kuona ingekuwa ngumu kwako
  kusikika lakini ushindi wetu ni mkubwa na tuna kila sababu za kujivunia katika harakati zetu za mapambano dhidi ya hawa mafisadi
  TUMA EMAIL YAKO KWA MAANA NI MUHIMU SANA SANA KWANI NI KAULI HALISI YENYE UTHIBITISHO WA KIMAANDISHI . Kwani
  kuna ushahidi kuwa wabunge wetu walipokuwa wakikutana na wawakilishi wa serikali ya british walioneshwa baadhi ya email zetu nyingi
  kuthibitisha kuwa kuwa siyo kweli kwamba kila Mtanzania anaunga mkono swala la wao kulipwa pesa kupitia serikalini na kwa wale
  waliosikiliza kipindi cha mahojiano ya ZUNGU NA CHEYO kwenye BBC SWAHILI, CHEYO alikiri kuwepo kwa email za watanzania
  kuwa zinaathiri zoezi lao kwahiyo ningependa kukupa shime mtanzania mwenzangu popote ulipo mwenye mapenzi na nchi yako
  email yako ni muhimu mno kwahiyo tumwage zingine tena kama mwenzetu alivyosema hapo juu na lazima tutashinda kwani sauti
  ya wengi ni sauti ya umma.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Of course we can take the battle a notch high!! yes we can!! I need some patriotic Tanzanians in UK who are capable to articulate an argument publicly.. will assist them, niandikie hapa chini.
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,193
  Trophy Points: 280
  Tupeni basi draft au kila mtu anaandika anavyojua.
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,193
  Trophy Points: 280
  MMKJ unaweza kudraft maneno at least ya sentensi mbili ili ujumbe uwe uniform.
   
 7. S

  Sheba JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
Loading...