Kampeni Kupinga 'chenji' ya fedha za Radar wasipewe tena Serikali

HUU NI USALITI
LETS SUPPORT THE GOVERNMENT FOR THE MOVE, PESA IRUDI SERIKALINI ILI KUKIDHI MIPANGO ENDELEVU ILYOAINISHWA YA MATUMIZI YA PESA HIZO....
Tuipende nchi yetu kwa vitendo, THIS is not PARTY ISSUE, ni ishu ya watanzania kwa ujumla wao
 
imeshaundwa advisory board to determine the use of a proposed compensation to Tanzania from BAE System

a statement from said that the board will be chaired by Lord Cairns and Filippa Foster deputy chairman

Lord Cairns is the current Board member of the MO Ibrahim foundation

In recognition of the duty Lord Cairns said "i welcome the opportunity to chair the advisory board.It provides us with great opportunity to deploy this substantial fund in a way that will provide substantial benefit as Tanzania advances down the path to full development"
 
We are writing to the advisory board.

Mimi nimeshatuma SMS na email wewe je? Tuma email au sms zote zinapokelewa vizuri tu!

Lindsay Walls, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383074 Mob: +44 (0)7793427582
Lindsay.walls@baesystems.com
Leonie Foster, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383777 Mob: +44 (0)7540 630168
 
tuwaandikie BAE na kuwaomba watafute maoni ya watanzania kwa ujamla wangependa fedha hizo ziwe channeled vipi kwa maendeleo na manufaa ya watanzania
 
Unaweza ukakopi na kupesti email hii hapa chini na kisha kundika jina lako na kutuma kwa:

Lindsay.walls@baesystems.com

Pamoja tunaweza kupambana na ufisadi! Ukishatuma watumie marafiki wako waambie nao watume pia. Kuhamasishana andika: nimesha tuma wewe je?

Re: The Settlement of the £29.5 Million to Tanzanian People

I understand that BAE Systems has formed an advisory board on Tanzania chaired by Lord Cairns in line with the settlement agreement with the UK 's Serious Fraud Office (SFO), approved by the UK's High Court in December 2010. As part of the settlement BAE Systems agreed to pay the sum of £29.5 million for the benefit of the people of Tanzania.

I am aware that a group of Tanzania all party parliamentarians have visited Britain to press for the payment of the settlement of 29.5 million pounds through the Tanzania's Government rather than Non- Governmental Organizations (NGOs).

As a Tanzanian citizen, I am monitoring this issue very closely and I want to express my strong support to BAE System for its decision to return the money to the Tanzanian people through NGO's instead of the same tainted corrupt Tanzanian Government officials. Please bear in that this all party parliamentarians visit in Britain is costing us already.

Thank you for your cooperation.

Your sincerely,

Taja jina lako,
 
HUU NI USALITILETS SUPPORT THE GOVERNMENT FOR THE MOVE, PESA IRUDI SERIKALINI ILI KUKIDHI MIPANGO ENDELEVU ILYOAINISHWA YA MATUMIZI YA PESA HIZO....Tuipende nchi yetu kwa vitendo, THIS is not PARTY ISSUE, ni ishu ya watanzania kwa ujumla wao
unajifanya patriotic sana, mbona huulizi waliotuingiza kwenye choo hichi cha kike wamechukuliwa hatua gan?! Hivi mtu unawezaje kutetea serikal ambayo haina uchungu wa rasilimal zake. Achoka kabisa!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
HUU NI USALITI
LETS SUPPORT THE GOVERNMENT FOR THE MOVE, PESA IRUDI SERIKALINI ILI KUKIDHI MIPANGO ENDELEVU ILYOAINISHWA YA MATUMIZI YA PESA HIZO....
Tuipende nchi yetu kwa vitendo, THIS is not PARTY ISSUE, ni ishu ya watanzania kwa ujumla wao

Swadakta. Ndio maana pesa zisirudi serikalini kwani serikali ya CCM itazichakachua. By the way, zile pesa zilizorudishwa na wezi wa EPA zimetumikaje vile? Mbona hazionekani kwenye vitabu?
 
MODS:These are the kind of serious issues that desrve the space in JF. It is for serious issues like this one that some of us visit the forum. Of lately you have been allowing UDAKU to take centre stage.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Thank you this is so useful .
Ni njia nzuri sana na wenzetu hawa wanajali sana public opinion!
 
WanaJF tuache kulalamika tuchukue hatua! Fedha za radar serikali inazotaka irudishiwe ni dhuluma tupu! Tuandike emails, sms , piga simu hata kwa kiswahili kupinga serikali isipewe fedha ilizoitoa kwa ufisadi. Hapa nimeweka anwani za BAE wanashughulikia namna fedha hizo zinaweza kurejeshwa kwa wananchi wa Tanzania ili ziwanufaishe. Andika kwa mfano: Mimi ni mtanzania napinga sina imani na serikali kufanya matumizi bora tafadhali fedha hizi zirudishiwe umma kupitia NGOs

Lindsay Walls, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383074 Mob: +44 (0)7793427582
Lindsay.walls@baesystems.com
Leonie Foster, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383777 Mob: +44 (0)7540 630168

I am afraid, this may be an exercise in futility and sheer waste of time and resources. Your attempt is devoid of any justification and no body, worth their names will ever take you seriously. Are you talking about NGOs which are outlets of fleecing? You are jocking! The money ought to go to where it came from i.e. the exchequer. If you want a debate on how it should be spent, then that is arguable. But your proposition falls short of a prudent thinking.
 
Swadakta. Ndio maana pesa zisirudi serikalini kwani serikali ya CCM itazichakachua. By the way, zile pesa zilizorudishwa na wezi wa EPA zimetumikaje vile? Mbona hazionekani kwenye vitabu?

Vitabu gani? Take a bold effort to trace it before you start hurling baseless accusations. Go to TIB and get what you need.
 
I am afraid, this may be an exercise in futility and sheer waste of time and resources. Your attempt is devoid of any justification and no body, worth their names will ever take you seriously. Are you talking about NGOs which are outlets of fleecing? You are jocking! The money ought to go to where it came from i.e. the exchequer. If you want a debate on how it should be spent, then that is arguable. But your proposition falls short of a prudent thinking.

reckless thinker
 
Naifahamu serikali hii..mtaambiwa nyie hamlitakii mema taifa lenu..wasaliti...

Mungu awatangulie katika kazi hii ngumu ya kutetea maslahi ya watanzania
 
WanaJF tuache kulalamika tuchukue hatua! Fedha za radar serikali inazotaka irudishiwe ni dhuluma tupu! Tuandike emails, sms , piga simu hata kwa kiswahili kupinga serikali isipewe fedha ilizoitoa kwa ufisadi. Hapa nimeweka anwani za BAE wanashughulikia namna fedha hizo zinaweza kurejeshwa kwa wananchi wa Tanzania ili ziwanufaishe. Andika kwa mfano: Mimi ni mtanzania napinga sina imani na serikali kufanya matumizi bora tafadhali fedha hizi zirudishiwe umma kupitia NGOs

Lindsay Walls, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383074 Mob: +44 (0)7793427582
Lindsay.walls@baesystems.com
Leonie Foster, BAE Systems
Tel: +44 (0)1252 383777 Mob: +44 (0)7540 630168

Thank you napiga in ten mins washenzi hawa!
 
Vitabu gani? Take a bold effort to trace it before you start hurling baseless accusations. Go to TIB and get what you need.

Kwanza jibu issues zote nilizosisema. Then, assuming that you're right, you think that's the correct way of handling thieves? Rudisha hela, basi. Hatukuchukulii hatua.
 
Wakuu nimetuma SMS, email na kupiga simu namba +44 (0)1252 383777 nimeongea na dada Leonie Foster amesema response si kubwa sana ila ina wezekana kabisa maoni ya watanzania yakasikilizwa, tutume mail na SMS kwa records.

Email nyingine niliyopewa ni Leonie.foster@baesystems.com

MOD unaweza weka kwenye post mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom