Uchaguzi 2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

Wewe utamchagua magufuly
Mimi nitamchagua TUNDU LISSU

kila mmoja ashinde mechi zake
Actually,

Magufuri=90% ya kura za wananchi wakitanzania.

Zilizobaki tuwaachia nyie na marais wengine wote.

Ila chonde chonde mkiona Mmeshindwa msiingia barabarani kama mlivyosema.

Ushindi wa Mwaka huu ni Wa haki kabisa bila wizi| hujuma yoyote.
 
Jisemee nafsi yako bidada.

Ni idiot peke yake anayeweza kuzisemea nafsi za watu
 
Pale penye Umoja na Ushikamano katika kila kauli tunatumia, WE (sisi).

So,Sisi ni Wamoja na Tunazungumza kwa Lugha moja ya SISI.
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
 
Kurudia rudia Mambo ambayo tayari kila mwananchi anayatambua ni Moja ya kupoteza Muda
Kinachofanywa sasa ni kuonesha tutawafanyia nini tena ndani ya miaka mitano ijayo.

Alafu kikubwa, Usidanganyike na picha za Mitandao.Hizi ni propaganda tu huku mtandaoni.
 
Upo front sana kuliko baadhi ya viongozi wa makao makuu, hongera.
Shida ni moja hupati nafasi ya kujua yaliyomo chamani, kuna siku nikiamka vizuri ntakutumia namba za baadhi ya viongozi wa makao makuu.
Unajua nini chama/mwenyekiti wameamua kuhusu hii adhabu ya lissu? Pole najua hujui
Kura yako uhai wako
 
Masikini wengi wa akili hupenda kujiambatanisha na wasio wajua , mimi tajiri na mgombea ubunge wa 2020 nisiwajue viongozi wa Chadema ili iwe nini ? nakusoma unavyoandika humu hadi nacheka , lengo nifunguke ili unijue !

Mbinu ya kishamba sana !
 
Chadema hata wakiweka kichaa mimi nitachagua kuliko haya manyanyaso
Mkuu hata mimi nilishaamua Sikh nyingi hata wangeweka jiwe haki ya nani ningelipigia jiwe kuliko Magufuli! Nimechoka kuongozwa na taahira mjivuni!
 
Ok nimekuelewa ila kinachonishangaza hujuagi kinachoendelea chamani! Umejua chama kimeamua nini kuhusu adhabu ya lissu?
Masikini wengi wa akili hupenda kujiambatanisha na wasio wajua , mimi tajiri na mgombea ubunge wa 2020 nisiwajue viongozi wa Chadema ili iwe nini ? nakusoma unavyoandika humu hadi nacheka , lengo nifunguke ili unijue !

Mbinu ya kishamba sana !
 
Hawana chao. Tatizo ni Tume. Mahera haweza kumtangaza TL mshindi. Anatamani hata kufuta candidature ya TL. Watanzania tujiandae kulinda ushindi wetu kwa damu na jasho.
Zanzibar baada ya shoo watu tena wenye sare za ccm wakafunga virago wakaacha anapayuka jukwaani
 
Back
Top Bottom