Hofu ya Chadema ni endapo Makonda atakubaliana na Sera yao ya Nusu Mkate ama la!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu pekee ndio hakubaliani na Sera ya kugawana majimbo yaani Nusu Mkate lakini wengine Wote wanasubiri Huruma ya CCM

Hofu iliyopo ni je Mkuu wa Itikadi ya CCM Komredi Makonda atakubaliana na mambo ya Nusu mkate?

Mungu wa mbinguni awabariki 😀
 
Una maana huyo msema chochote wa lumumba ni zaidi ya Mwenyekiti wake,naona mnaanza kumsagia kunguni bashite kimtindo,Jo wewe mtu mbadi sana
 
Ni Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu pekee ndio hakubaliani na Sera ya kugawana majimbo yaani Nusu Mkate lakini wengine Wote wanasubiri...
Huyo makamu mwenyekiti Lisu hakubaliani na sera ya kugawa mkate kwa sababu yeye na familia yake tayari wana hadhi ya ukimbizi na makazi ya kuishi huko Ulaya (Belgium), na wengine wana uraia kabisa wa Marekani, hivyo hiyo sera iwepo au isiwepo, Chadema ishinde isishinde yeye hana cha kupoteza.

Kazi kubwa ni kwa wale makapuku, au naweza kusema wazalendo wa chama chao ambao wamekataa kwenda kuwa wakimbizi wa kisiasa katika nchi za watu. Kama hawakufuata sera hiyo na wakiangukia pua uchaguzini wataishi vipi mjini?!

Ningemuona wa maana na mzalendo wa kweli, kama tungekuwa tunagombania nae basi pale mbuyuni kuelekea posta au makumbusho kila siku asubuhi kama wenzake.
 
Ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu pekee ndio hakubaliani na Sera ya kugawana majimbo yaani Nusu Mkate lakini wengine Wote wanasubiri Huruma ya CCM

Hofu iliyopo ni je Mkuu wa Itikadi ya CCM Komredi Makonda atakubaliana na mambo ya Nusu mkate?

Mungu wa mbinguni awabariki 😀
John muda mwingine huwa unakuwa na substandard reasoning! Chadema wanataka hicho unachokiwazia? Unavunja heshima yako hapa JF
 
Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni bishara yao ya vyama vya siasa, ndio maana kwenye hayo maridhiano hayupo CHAUMA, CUF, ACT, na vyama vingine.

Haya maridhiano hayalihusu taifa zima, labda kwa mwanachama wa Chadema au Ccm.
 
Back
Top Bottom