Uchaguzi 2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

Mungu humuinua Mwenye haki na anaemtumania yeye kama Mwokozi na mponyaji wake.

Hili limeonekana Miezi Minne iliyopita ndani J.P.Magufuli
hakuna muuaji mwenye haki dogo...na zaidi Mungu huyo huyo unayemsemea ndio alimuokoa kutoka kwenye tundu la kifo mlilotaka kumuingiza huko, lakini Mungu akasema hapana, huyu naenda kumuinua nchini Tanzania awe Rais wa Tanzania

yule yule mliyetaka kumuua kule dodoma na damu ikagusa ardhi hii ya tanzania, ndio anaenda kua rais wa nchi..bisha upasuke kichwa..
 
View attachment 1589163

Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika , pinga umasikini kwa kuikataa ccm na kuichagua Chadema , jiwekee akiba mbinguni kwa kuwakataa watekaji na wabambika kesi , kataa uonevu dhidi ya wananchi wa Tanzania .

Mungu anakuona unavyoteseka na amekuona ulivyo na Subira , sasa amekuletea Chadema na washirika wake ili ukombolewe dhidi ya Maisha ya kishetani ambayo ccm imejiapiza kuwapa wananchi , muda ni huu acha kulia lia , kura ni siri yako , ipige vizuri ili kumtukuza Mungu kwa " Ufufuo " wa Tundu Lissu ubarikiwe .

Nchi hii imebakisha wiki chache sana ili kuondokana na utumwa , dhiki , uonevu , ukosefu wa ajira , mishahara duni , ufisadi , utekaji , makanisa na misikiti kutumika , hofu , mateso , dharau , matusi , wizi , ada ya kuzaa , elimu duni pamoja na mambo yote mabaya yaliyofichwa , mwenye maamuzi ni wewe , ikatae ccm ili tujue waliko waliopotea , ikatae ccm ili tuwajue watekaji , ikatae ccm ili chini ya mwezi mmoja tuyajue majina ya waliomshambulia Lissu na waliowatuma .

CHAGUA CHADEMA KWA UHURU , HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Hii serikali ni dhalim Sana
Kuna masheikh wetu kwa mamia wapo jela wanateswa kinyama bila huruma kwa tuhuma za kigaidi bila kuwapeleka mahakamani
Tangu magufuli aingie madarakani Tanzania imewashikilia waislamu wengi kwa tuhuma za ugaidi kuliko Afghanistan na Iraq
Cha kushangaza wapiga kura wengi wa magufuli ni waislamu wenzangu inauma Sana
 
View attachment 1589163

Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika , pinga umasikini kwa kuikataa ccm na kuichagua Chadema , jiwekee akiba mbinguni kwa kuwakataa watekaji na wabambika kesi , kataa uonevu dhidi ya wananchi wa Tanzania .

Mungu anakuona unavyoteseka na amekuona ulivyo na Subira , sasa amekuletea Chadema na washirika wake ili ukombolewe dhidi ya Maisha ya kishetani ambayo ccm imejiapiza kuwapa wananchi , muda ni huu acha kulia lia , kura ni siri yako , ipige vizuri ili kumtukuza Mungu kwa " Ufufuo " wa Tundu Lissu ubarikiwe .

Nchi hii imebakisha wiki chache sana ili kuondokana na utumwa , dhiki , uonevu , ukosefu wa ajira , mishahara duni , ufisadi , utekaji , makanisa na misikiti kutumika , hofu , mateso , dharau , matusi , wizi , ada ya kuzaa , elimu duni pamoja na mambo yote mabaya yaliyofichwa , mwenye maamuzi ni wewe , ikatae ccm ili tujue waliko waliopotea , ikatae ccm ili tuwajue watekaji , ikatae ccm ili chini ya mwezi mmoja tuyajue majina ya waliomshambulia Lissu na waliowatuma .

CHAGUA CHADEMA KWA UHURU , HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
 
Attachments

  • kampeni. (1).pdf
    212.3 KB · Views: 3

Muogope mungu
 
Back
Top Bottom