Kampeni huru za UKAWA 25,September - 25,October

Kampeni huru za UKAWA 25,September - 25,October

Mimi kwa upande wangu wananchi wangu wa Pemba wanaielewa CCM kwamba ni utawala dhalimu wa mauwaji..
bado wana majeraha ya mauwaji ya january 27 2001 ambapo zaidi ya watu 200 walipigwa risasi na wasiopungua 70 kuuwawa na vikosi vya ulinzi na usalama vya CCM..
hawana lugha ya kuwadanganya Wapemba..
kwa upande wa wavuvi wanayakumbuka machungu ya dikteta makufuli,na hawakuwahi kupata msaada kutoka kwake..
wamiliki wa sheli na waliovunjiwa nyumba wanaelewa roho nyeusi ya makufuli..
basi tumalizie kwa kuwauliza wananchi wanaotumia vivuko vya kivukoni..
HAKUNA MTU MWENYE IMANI YA MUNGU ANAYEWEZA KUUNGA MKONO UTAWALA DHALIMU WA KIFISADI NA WA MAUWAJI..
pia huyu mbulula aelewe machafuko ya Libya yasababishwa na nini ? mtu mzima kulopoka aibu !
mwisho kuthibitisha umbulula alionao anataka wananchi wasikubali mabadiliko na wakati huohuo anajiita Mikufuli 4 Change..
duh !

shughuli ipo mwaka huu.
 
Nimewaambia zimebaki siku 30 wakatae ama wakubali kuendelea kuamka saa 9 usiku kwenda kuteka maji umbali wa km 10, asee wamehamasika sana wanatamani siku ifike ili wakatae iyo kitu
 
Nimewaambia zimebaki siku 30 wakatae ama wakubali kuendelea kuamka saa 9 usiku kwenda kuteka maji umbali wa km 10, asee wamehamasika sana wanatamani siku ifike ili wakatae iyo kitu

ahsante.
 
Tupambane jamani hawa CCM wanatumia nguvu sana wanataka ushindi hata kwa kuua mtu
 
Iringa Usiku wa kuamkia Juzi wamemkata mwanachadema Sikio hawa ni watu hatari sana CCM
 
Msiogope, tutashinda! Ninafanya utafiti mdogo kila ninapokuwa na naona kuna uwezekano mkubwa wa ushindi kwa ukawa.
 
Mwana ukawa yeyote kuanzia leo Tarehe 25/09/2015_25/10/2015 unaombwa kumnadi mgombea wetu Edward Lowassa ili aweze kushinda Uchaguzi Mkuu Mwezi Ujao.

Ni muhimu kuwaelezea kiundani zaidi hasa watu wa vijijini kwani wamedanganywa na mgombea wa ccm kuwa wakiichagua Chadema nchi itakuwa kama Libya, Hivyo kwa uelewa mdogo wa watu wa vijijini wameingiwa na uoga na kurudisha majeshi nyuma [fear of unknown] kwa juhudi zako tunaomba kura 5 kutoka kijijini kwako, tunaamini kama kwa sasa tupo milion 4.1 na kila mtu akaongeza watu watano inamaana tutafika million 20.5 ambayo ni sawa na asilimia 89 ya watu wote million 23 waliojiandikisha kupata vitambulisho.

Nawasilisha.

Muwakumbushe pia kuhusu mgombea aliyejinyea.
 
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

Weka kwenye kumbu kumbu zako kwenye uzee au kabla ya uzee wako utapatwa na tatizo kubwa sana!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwana ukawa yeyote kuanzia leo Tarehe 25/09/2015_25/10/2015 unaombwa kumnadi mgombea wetu Edward Lowassa ili aweze kushinda Uchaguzi Mkuu Mwezi Ujao.

Ni muhimu kuwaelezea kiundani zaidi hasa watu wa vijijini kwani wamedanganywa na mgombea wa ccm kuwa wakiichagua Chadema nchi itakuwa kama Libya, Hivyo kwa uelewa mdogo wa watu wa vijijini wameingiwa na uoga na kurudisha majeshi nyuma [fear of unknown] kwa juhudi zako tunaomba kura 5 kutoka kijijini kwako, tunaamini kama kwa sasa tupo milion 4.1 na kila mtu akaongeza watu watano inamaana tutafika million 20.5 ambayo ni sawa na asilimia 89 ya watu wote million 23 waliojiandikisha kupata vitambulisho.

Nawasilisha.

pamojaaaaaaaa
 
Weka kwenye kumbu kumbu zako kwenye uzee au kabla ya uzee wako utapatwa na tatizo kubwa sana!!!

Nikipatwa na tatizo sitogombea hata ujumbe wa nyumba kumi - nawe kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom