Kampeni huru za UKAWA 25,September - 25,October

Kampeni huru za UKAWA 25,September - 25,October

Nami nimefanikiwa kuwabadili 13 voters ambao ni vipenzi vya dkt slaa na prof lipumba kwa kuwaambia mamvi amekuja kuwaharibia kila kitu cdm na ukawa na ndo maana viongozi wenu wamejitoa ninyi mnasubiri nn kweli wameniahidi urais kwa Dr.john P M ila ubunge&udiwani wamesema kwa wa CUF
Sidhani kama wamekubali toka moyoni kwa sababu wenyewe ndio waathirika wa hospitali mbovu zisizo na vitanda wala dawa, watoto shule wanakaa kwenye vumbi na miundombinu bado ni ya mwaka 70.
 
mimi na mademu zangu wanne tyar 5
 
Mwana ukawa yeyote kuanzia leo Tarehe 25/09/2015_25/10/2015 unaombwa kumnadi mgombea wetu Edward Lowassa ili aweze kushinda Uchaguzi Mkuu Mwezi Ujao.

Ni muhimu kuwaelezea kiundani zaidi hasa watu wa vijijini kwani wamedanganywa na mgombea wa ccm kuwa wakiichagua Chadema nchi itakuwa kama Libya, Hivyo kwa uelewa mdogo wa watu wa vijijini wameingiwa na uoga na kurudisha majeshi nyuma [fear of unknown] kwa juhudi zako tunaomba kura 5 kutoka kijijini kwako, tunaamini kama kwa sasa tupo milion 4.1 na kila mtu akaongeza watu watano inamaana tutafika million 20.5 ambayo ni sawa na asilimia 89 ya watu wote million 23 waliojiandikisha kupata vitambulisho.

Nawasilisha.

We chadomo una mtindio wa ubongo, nchi kuwa kama Libya dalili wameanza kuzionyesha ukawa, wao matokeo ya tafiti zote wanakataa, wanachoma nyumba za wana ccm, ni dalili za kuja kukataa matokeo na hapo ndipo shida itaanza!
 
Nipo mwanza japo kwa sehemu ukabila upo lakin wapo waliochoka mfumo huu nawanataka mabadiliko
 
Huku nilipo mimi situmii nguvu sana kuwashawishi watu..OPERATION TOKOMEZA UJANGILI iliwaumiza sana wananch wa eneo hili.
 
Mimi 108 nina uhakika kwenda kwa Lowassa..!! Family relatives tu hao..

Nikiweka friends ni wengi sijui idadi yao... wote wako kwa Lowassa.... sbb CCM imeshachoka...!!
 
Mimi 108 nina uhakika kwenda kwa Lowassa..!! Family relatives tu hao..

Nikiweka friends ni wengi sijui idadi yao... wote wako kwa Lowassa.... sbb CCM imeshachoka...!!

tusiongee kiushabiki jamani tufanye kweli
 
Safi sana....
Hii ni Kampeni ya familia kwa familia....
Mtu kwa mtu......
 
Mimi kwa upande wangu wananchi wangu wa Pemba wanaielewa CCM kwamba ni utawala dhalimu wa mauwaji..
bado wana majeraha ya mauwaji ya january 27 2001 ambapo zaidi ya watu 200 walipigwa risasi na wasiopungua 70 kuuwawa na vikosi vya ulinzi na usalama vya CCM..
hawana lugha ya kuwadanganya Wapemba..
kwa upande wa wavuvi wanayakumbuka machungu ya dikteta makufuli,na hawakuwahi kupata msaada kutoka kwake..
wamiliki wa sheli na waliovunjiwa nyumba wanaelewa roho nyeusi ya makufuli..
basi tumalizie kwa kuwauliza wananchi wanaotumia vivuko vya kivukoni..
HAKUNA MTU MWENYE IMANI YA MUNGU ANAYEWEZA KUUNGA MKONO UTAWALA DHALIMU WA KIFISADI NA WA MAUWAJI..
pia huyu mbulula aelewe machafuko ya Libya yasababishwa na nini ? mtu mzima kulopoka aibu !
mwisho kuthibitisha umbulula alionao anataka wananchi wasikubali mabadiliko na wakati huohuo anajiita Mikufuli 4 Change..
duh !
 
Naongea na wagonjwa wangu kila siku na kuwaelimisha juu ya mabadiliko
 
Back
Top Bottom