It is very trueWabunge nna kazi maana mtakula bakora mpaka mkome
Ni kweli hayo mambo yanaweza kutokea Tanzania pekee, kwa mbunge ambaye alithibitika bila shaka yoyote kuwa alimcharaza mgombea mwenzie kwenye kura za maoni za CCM hadi kusababisha huyo jamaa kuzirai na kulazwa hospitalini, lakini leo wabunge wenzie wa CCM ndiyo wanamuona ndiye anapaswa kushika wadhifa huo nyeti kabisa katika nchi.Leo amteuliwa na chama kugombea uspika wa BUNGE......ONLY IN TANZANIA....
Wapuuzi tu hao cjui na nani wao hapo juuuKwa nini Ndugai hawakumfunga? CCM wanafiki sana
Alitakiwa awe "Behind Bars"Hii pekee ilikuwa inatosha kumnyima hata ubunge achilia mbali uspika .
Jamaa hana hekima kajawa na hasira za kimatonyaAlitakiwa awe "Behind Bars"
Teh teh, Ndugai the greatHii ilkuwa kipindi cha uchaguzi 2015 alipomsulubu Mgombea mwenzake ndani ya chama