Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

Halafu huyu jamaa hafai kabisa,alilewa unaibu na kutoa watu ovyo nje,mkataeniiiiiii
 
Wabunge nna kazi maana mtakula bakora mpaka mkome
It is very true
Baada ya huyo jamaa kuukwaa Uspika tutarajie kuwa anaweza hata kuwacharaza bakola wabunge wa upinzani pale atakapoona kuwa hawamtii.
Hivi ina maana wabunge wa CCM wameamua kumpitisha Ndugai kwa qualification yake kubwa ya kucharaza watu bakora?!
Hakika natabiri kuwa bunge hili litakuwa na vioja na vurumai kuliko mabunge yote yaliyowahi kuwepo hapa nchini.
 
Leo amteuliwa na chama kugombea uspika wa BUNGE......ONLY IN TANZANIA....
Ni kweli hayo mambo yanaweza kutokea Tanzania pekee, kwa mbunge ambaye alithibitika bila shaka yoyote kuwa alimcharaza mgombea mwenzie kwenye kura za maoni za CCM hadi kusababisha huyo jamaa kuzirai na kulazwa hospitalini, lakini leo wabunge wenzie wa CCM ndiyo wanamuona ndiye anapaswa kushika wadhifa huo nyeti kabisa katika nchi.
Hakika kutokana na mtindo huu wa CCM wa uendeshaji wa nchi hii, ni dhahiri lengo lao ni Bunge hili la 11 litawaliwe na fujo ambazo wao kama kawaida yao watawatupia lawama wabunge wa upinzani kuwa ndiyo wanaosababisha vurumai hizo.
Hauwezi katika Taifa lolote ukadumisha amani kama watawala wa nchi hiyo husika inachofanya ni kuminya haki za raia wake na kuliona kundi dogo la watawala kama UNTOUCHABLES ambalo liko above law ambalo hakuna mkono wowote wa sheria unaoweza kuwagusa!
 
Habari yako wewe mwanachama wa ukawa na chadema .
Vuguvugu letu LA kutaka mabadiliko ya kweli bado yanaendelea mpaka 2020 Tunatumia fursa hii kutambulisha App ambayo inahusika na kutoa habari za ukawa kwa ujumla. kitaifa na kimataifa pamoja na chadema .pia kupitia app hii inakupa fursa wewe mwana ukawa kutoa mawazo yako au ushauri juu ya kitu au tukio lolote linalo endelea nchini kupitia conservation chat ambayo imeandiliwa na ujumbe wako kuwafikia viongozi wa ngazi ya juu direct kupitia hiyo option .pia tunapata fursa ya kujadili na uchambuzi wa habari na matukio mbalimbali kupiti app hiyo

unaweza kuidownload kwa kuingia play store na ku search Chadema News.

au bonyeza hapa kui download
Chadema News – Applications Android sur Google Play

kwa umoja wetu wana ukawa na chadema tupakue app hii kwa umoja na tuweze kupeana ushauri.mawazo na namna tunavyo taka umoja wetu uwe

Uwepo wa App ni kwamba tunahitaji mawazo yako na ushauri wako wa hali na Mali ili tuweze kupiga hatua kubwa kwenye safari yetu ya mabadiliko.

SHARE UJUMBE HUU WEWE MWANACHAMA WA UKAWA ULIO UPOKEA KWA WANACHAMA WENGINE .

AHSANTE
Chadema News – Applications Android sur Google Play
 
Hii ilkuwa kipindi cha uchaguzi 2015 alipomsulubu Mgombea mwenzake ndani ya chama
 

Attachments

  • 296646144_n-1.mp4
    2.2 MB · Views: 72
Naona wagogo wiki hii wanataka watrend kwenye media jana Pilipili,leo Ndugai anataka kumpeleka CAG bungeni kwa pingu....wagogo bana
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom