Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
6,700
2,000

Video inaonyesha Job Ndugai akimrarua fimbo mgombea mwenzake wa CCM hadharani. Hii kumbukizi ni muhimu sana tunapojadili vitisho dhidi ya CAG kutoka kwa spika.
CAG akumbuke kuvaa hemuleti ( kofia ngumu) mbele ya kamati na asimsogelee bado tunampenda.
 
doup

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,175
2,000
Kwa tukio hili Kifungo sijui mpaka leo alikiepuka vipi! Kwa hili tukio nilimuona ni nilimshusha to zero.
 
theriogenology

theriogenology

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
8,745
2,000
Hakika huyu jamaa anavuta Cannabis sativa...

Ni vyema serikali ijiridhishe na watu dizaini hiii kabla ya kupewa kuongoza mhimili mkubwa kama Bunge....

Jamaa sio mzima kichwani..
 
Don njinji

Don njinji

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
559
1,000
Sijui alienda na fimbo kwa sababu ya nn kwenye huo mkutano...ikiwezekana wamkataze kuingia na silaha kikao na CAG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
15,782
2,000
......
......Hii ndo J4 kurunzi la moto
 
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,505
2,000
Huyu mgogo akili kichwani hamna

2020 John Walker out
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,290
2,000
On comparison
Kati ya Ndugai na Bashite bora jimbo apewe Bashite, yaani Ndugai ni zaidi ya Bashite kwa uzwazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom