Well spoken brother!
Huyu fastjet cjui cjui anaipeleka wapi Nchi. Alianzisha kwenye campaign 2010 watanzania kumbukumbu tumeitunza ipo Cku ataulizwa tu, Muda ukifika Hakuna wa kuzuia.
ANAYEONGEA SAAAANA KUHUSU UDINI NDIYE ANAYEUENEZA UDINI- J K Nyerere
nyie ndio wadini wakubwa, wapuuuzi nyie! kwakuwa mlishaozeshwa kimawazo na udini wenu ndiyo maana kila jambo mnaliangalia kwa mtazamo wa dini tu. ningewaona wa busara sana kama angalau mngejishughulisha kuangalia sababu za kuongeza hiko cheo kwani niaminivyo mimi sidhani kama huyo jk aliamka tu na kuweka hiyo nafasi bila kupata ushauri wa kina toka maeneo nyeti ya usalama ambamo kwa mujibu wa mwandosya, wengi ni wenye dini kama yenu. lakini pia tujiulize, ni nafasi ngapi zilibuniwa na watangulizi wake? mbona hamkuangalia kwa mtazamo wa kidini?
mmetaja 2010 kuwa aliuanzisha udini, TUMUOGOPE MUNGU na tuwe wakweli, hivi ni nini kiliibua hisia za udini kama siyo ule waraka ulioandaliwa na chombo kimoja kikubwa cha kidini hapa nchini? waraka ambao ukiusoma na kama una akili zako timamu unauona laivu kuwa umemlenga nani! kina kingunge wakaonya utaibua hisia za kidini wakakashifiwa kwa kuambiwa kwa kejeli kuwa, 'siku zote wakomunist hawana hofu na mungu'. sasa leo mmeharibika kiasi mnamchallenge huyo jk kwa sababu tu si mtu wa dini yenu na huo ndiyo ukweli!! lkn kuongeza nafasi ktk utumishi wala halina tatizo lolote. hongereni kwa kutumika makamanda.
