BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,212
- 9,866
Ni hivi huyu rank yake ya ukamishina inabaki pale pale kwa sababu ile anapewa na rais. Hivyo atatambulika kama hivyo. Kuhusu demotion hapana, kwa sababu kutoka kuwa mkuu wa Usalama na Utumishi wa polisi hadi kuwa mkuu wa jeshi la polizi zima moto ni cheo kikubwa. Ni kikubwa kwamba sababu anaisimamia taasisi kamili, ingawa ipo chini ya Jeshi la Polisi. Cheo chake yeye ni ni kikubwa kwa sasa kwa sababu anasimama kama yeye kwenye cheo chake. Na ndio maana wanapouwa wakuu wa vyombo vya usalama hata yeye unaweza kumuona. Ni sawa na Kamishina wa Magereza, nao si wa wapo chini ya Polisi, lakini kinadharaia wengi hawalioni hilo.