Nimemuona kamishna Andengeye ndani ya uniform za Zima Moto.
Hivi Andengenye kimamlaka kapanda au ni demotion..
Hivi anabaki na vyeo/ranks zake za ukamishna wa polisi au anavishwa vyeo vingine vya kizima moto!
Nimemuona kamishna Andengeye ndani ya uniform za Zima Moto.
Hivi Andengenye kimamlaka kapanda au ni demotion..
Hivi anabaki na vyeo/ranks zake za ukamishna wa polisi au anavishwa vyeo vingine vya kizima moto!
kweli jf noma,sikuwahi kuwaza ulivyo niwazisha hapo juu,mkuu!asante kwa elimu hii ya bure!Mkuu mi napita tu lakini ngoja nichangie kidogo, Kimsingi vyeo vya Ukamishna bado anavyo vitabandikwa katika uniform zake mi najua hilo tu.mkuu hebu na wewe nijuze kifupi cha mkuu wa jeshi hilo ni nn? maana, MKUU ni CDF, polisi ni IGP, Magereza ni CGP sasa zimamoto anaitwaje kifupi? tena kwa kiingereza msaada
Kwani zimamoto si ipo chini ya polisi? Au ilishaondolewa au haikuwepo kabisa? Na kwa maana hiyo kama ipo basi mkuu wake ni IGP? BTW Nime-note watu wa zimamoto Tanzania wanadharaulika sana mpaka kuna wachangiaji hapa wanasema kashushwa cheo! Labda ni kutokana na serikali kutowathamini. Lakini nchi nyingine zimamoto ni watu muhimu sana sana na wanaheshimika.Mkuu mi napita tu lakini ngoja nichangie kidogo, Kimsingi vyeo vya Ukamishna bado anavyo vitabandikwa katika uniform zake mi najua hilo tu.mkuu hebu na wewe nijuze kifupi cha mkuu wa jeshi hilo ni nn? maana polisi ni IGP, MKUU ni CDF, sasa zimamoto anaitwaje kifupi? tena kwa kiingereza msaada
Yaani hapo mlungula ndo bye bye.
Na huyu anafaa kabisaa kwenye hyo kazi kule kwingine viatu vilimpwaya.Yote Tisa tunataka magari ya Zima moto ili majanga ya masoko kuungua yaishe kabisa.
Labda itakuwa kamishna mkuu wa zimamoto, sasa kwa kiingereza hapo ndiyo tusitafutane ugomviMkuu mi napita tu lakini ngoja nichangie kidogo, Kimsingi vyeo vya Ukamishna bado anavyo vitabandikwa katika uniform zake mi najua hilo tu.mkuu hebu na wewe nijuze kifupi cha mkuu wa jeshi hilo ni nn? maana, MKUU ni CDF, polisi ni IGP, Magereza ni CGP sasa zimamoto anaitwaje kifupi? tena kwa kiingereza msaada
Hilo ndio eneo lake sawia maana kule jeshi la polisi uwezo wake ulikuwa mdogo sana kiasi cha kukosa uweledi hadi kuamrishwa ata na mwenyekit wa CCM mkoa.Labda itakuwa kamishna mkuu wa zimamoto, sasa kwa kiingereza hapo ndiyo tusitafutane ugomvi
Umewahi kumpa mlungula?? Au waongea tuuYaani hapo mlungula ndo bye bye.
Mi naona itakuwa CGF yaaaani cammissional general of fire mi nnavyoonaLabda itakuwa kamishna mkuu wa zimamoto, sasa kwa kiingereza hapo ndiyo tusitafutane ugomvi
Kijeshi ambition inaweza kuwa kitu kizuri au kibaya. Anyway kupata hakuna kudogo! Commissioner General wa Zimamoto na IGP kama vyeo vinafanana vile! Hongera sana mtaniNa huyu anafaa kabisaa kwenye hyo kazi kule kwingine viatu vilimpwaya.