Kamechisha Toka Juu hadi Chini

9je2.jpg

Credit: @asprin 20 june 2012
Kasoro ngozi tu..
Hawa ndio wana CCM .. Sijui vijana wanatafuta Nini huko
 
Hao ndio wapiga kura sasa, vijana wako busy siku za kupiga kura afu wa kwanza kulaumu matokeo
 
9je2.jpg

Credit: @asprin 20 june 2012

Hii style inaitwa FULL GAMBA na hapo ilikuwa mwaka 2010 wakati anaenda kumpigia kura Nyerere. Hekaheka ilikuja pale alipoambiwa kwamba jina la mgombea anayemtaka (Nyerere) halipo kwenye ballot paper. Hilo timbwili lake, sitaki hata kulisimulia hapa--lilikuwa babkubwa usipime!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom