G
guest-1790886307
Guest
Wakuu jana nimeona uzi hapa jamaa anauliza wamiliki wa IST wanapata nini cha ziada hadi kulipa 20 M. Sasa kuna hii gari inaitwa Toyota premio. Ni gari ya chini lakini bei iko juu ya Subaru forester. Nimeweka hapa screenshot kwa ushahidi
Ni nini kimefanya hii gari ipande bei ilhali miaka mitano iliyopita ulikuwa unaitoa bandarini kwa 16 M?
Ni nini kimefanya hii gari ipande bei ilhali miaka mitano iliyopita ulikuwa unaitoa bandarini kwa 16 M?