Kamechisha Toka Juu hadi Chini

Kamechisha Toka Juu hadi Chini

9je2.jpg

Credit: @asprin 20 june 2012​

Bi mkubwa ametokelezea
 
Bibi anaujua ukweli, huwezi kumvalisha nguo zenye rangi ya damu akakuelewa!
 
Hao ndo wenye CCM yao; kumwambia aihame CCM ni sawa na kumwambia amkane mwanae wa kuzaa. Pale maeneo ya magomeni makuti huwambii kitu kuhusu CCM kumbe siri ya pale kubwa ni kuwa zile nyumba ambazo shirika la nyumba lilijenga pale ule mtaa wote Nyerere aliamua kuwagawia wananchi walikuwa wanaishi humo. Wazee wa pale huwambii kitu kuhusu CCM
 
Back
Top Bottom