Kambi ya arabela tupooooo?

Kambi ya arabela tupooooo?

pembejo.jpgnimeanza na hii kwanza baadae kido ndo nitamaliza kabisaaaa

images.jpg
 
chakura.jpgnanyie kuleni haraka kila mmoja wenu aende niliko mpangia undi.jpgnakutuma wewe nenda kambi pinzani ukatie mkosi nataka arabela awe mshindi sawaa?nakuja.jpgmimi hapa naseti mitambo.
 
View attachment 76685


aisee huyo paka namhitaji aje kula kwanza kwanini umemwacha hapo katika avatar yako wakati unajua kuna kazi kubwa?
 
Afu utaalamu kama wako tukichanganya na uwezo wa zubedayo_michuzi kuona wasivyoweza kuona wengine lazima wapinzani walie sana aisee

Nimemaliza kazi watakaopga kura watakuwa wakimpgia Arabela...
 
Last edited by a moderator:
Afu utaalamu kama wako tukichanganya na uwezo wa zubedayo_michuzi kuona wasivyoweza kuona wengine lazima wapinzani walie sana aisee

Mkuu Baba V,nimemaliza fitina za wapinzani wetu,wakienda kwenye Option Watakuwa wanaona jina Moja tu la Arabela.

Kuna huyu chimbuvu jana usiku alikuwa round about ya kigogo wakipasua Nazi na swahiba wake nao nikavunja Network zao...
 
Last edited by a moderator:
Kaka mimi umenifurahisha hiyo ya kutia mkosi kwenye kambi ya upinzani,tena naomba uikoleze ili wakikutana waanze kugombana bila kisa.....

tayari nasikia msuguano umeanza..USHINDI NI KWETU TAJI tunamvisha mrembo.hahahaa
 
yaani mpaka mnapiga misumari? Aisee!

wewe umetumwa kuja kupeleleza kambi yetu eee? Hey paka mweusi embu kamata huyu peleka ndani ya kambi kwa mahojiano zaidi.
 
WANA CHIT-CHAT ENDELEENI KUPIGA KURA ZENU ZA NDIO KWA MREMBO ARABELA. Mkopeshe kura yako sasa nae atakulipa maendeleo ya jukwaa hili la chit chat piga kura yako sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom