Kamati za Bunge

Kamati za Bunge

Viwanda biashara mazingira

Julius kalanga MONDULI CDM

khatib said haji CUF

anthony komu CDM

HAWA CDM
JESCA KISHOA (MKE WA KAFULILA)

NA DADA ANATROPIA THEONIST CDM VITI MAALUM DSM
Zitto yupo katiba na sheria bana acha fiksi
 
Hebu cheki ACT ipo wapi hapo
 

Attachments

  • 1453399669003.jpg
    1453399669003.jpg
    44.7 KB · Views: 36
Tunataka uwajibikaji wa kamati na si majina ya nani yuko hapa na nani kawekwa pale kuanzia wenyeviti na wajumbe wao.

Alafu hivi ni kwanini mtu ashukuru kupewa uenyekiti wa kamati fulani badala ya kufikiria mzigo aliobebeshwa?

Si bure kwenye hizi kamati kuna kitu.
Kila kamati ikifanya kikao,mwenyekiti anapata posho milioni moja na wajumbe wanapata laki 5,na wakisafiri mwenyekiti anakatiwa tiketi ya go and return ya ndege tena first class.na hotel analipiwa ya nyota tano
 
Leo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-

Zitto Kabwe
28 mins ·

Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndio Kamati nitakayohudumu katika Bunge la 11. Namshukuru Mheshimiwa Spika kwa uteuzi wake huu kwangu. Kamati hii inashughulika na Masuala ya Vijana, Michezo, Ajira, Elimu na Afya. Ni kamati muhimu sana. Nitaitendea haki na kuwatendea Haki Watanzania. Kazi iendelee


Mwenye majina kamili atuwekee hapa, au kama kuna uzi wa namna hii tuelekezane, nina hamu ya kujua PAC na LAC members ni kina nani, pia kamati ya Nishati na Madini.
Unajua hata mwewe anapokosa kifaranga na kuzoa manyasi humchukua muda kugundua kama amezoa manyasi na sio kifaranga na kuyaachia. Yumukini humshukuru Mungu kama anae, lakini sina hakika anapogundua kazoa nyasi humkufuru, kwa sababu wapo mwewe wengine hata uwezo wa kupata nyasi wanapokosa kifaranga hawana.
 
TE="kubwa_Lao, post: 15146371, member: 343703"]Safii si kitu chepesi sana kumkosa mtu kama zitto kwenye uongoz wa hizi kamati za bunge, tuweke ushabiki wa vyama pemben jamaa anajitahid mno[/QUOTE]
Tatizo hata undumila kuwili anajitahidi mno!
 
Majina ya wabunge na kamati walizopangwa
pamoja
wenyeviti wa kamati mbalimbali
source tovuti ya bunge....
 

Attachments

MsemajiUkweli yu wapi leo atupe tathmini ya huku kutupwa kwa Zitto?
 
Kuna WATU YAANI SIKU WAKISIKIA ZITTO KAFA,WATAFANYA BONGE LA SHEREHE MAANA CHUKI ZIMEVUKA KIKOMO AISEE.Binadamuuuuu
Kwa nini wanamchukia? Kwa nini yeye na sio wengine?
Ila ninavyofahamu hata huku mitaani MTU mnafiki,ndumilakuwili na mjivuni huwa anachukiwa kuliko kibaka au mchawi. Jee naye ana sifa hiyo? Kama anayo hakika nakuambia maisha take yote ataishi kwa kuchukiwa. Wanaompenda Leo ndio adui zake wa kesho, hivyohivyo. Ni vema akashauriwa aache tabia hiyo
 
Ni msaliti tatizo wewe huelewi maana ya usaliti. Usaliti ni kwenda kinyume na mwelekeo uliokubaliwa. Zito anataka mwelekeo wake au ule unaoongozwa toka CCM
Kwa ushahidi gani uliokuwa nao wewe?tatizo lenu mnaona anachokifanya mbowe ni sahihi asiingiliwe kwa lolote,na anachokwambieni ndio hicho hicho,mnakera sana ndio maana wanakuiteni nyumbu kwa kuamini na kufuata lililo mbele yenu
 
PAC anapewa Kubenea kutoka na elimu yake nadhani anafaa kuongoza hiyo kamati.
Kama fikra zako ni hizo pole sana ,na kwa taarifa yako tu kubenea hata cheti halisi cha form four hana,na hajulikani kasomea wapi elimu yake ya juu mkuu kubenea yake ni fitna na uongo tu.
 
Kama fikra zako ni hizo pole sana ,na kwa taarifa yako tu kubenea hata cheti halisi cha form four hana,na hajulikani kasomea wapi elimu yake ya juu mkuu kubenea yake ni fitna na uongo tu.
Basi hajasoma kabisa hata la chekechea...
 
Kwa ushahidi gani uliokuwa nao wewe?tatizo lenu mnaona anachokifanya mbowe ni sahihi asiingiliwe kwa lolote,na anachokwambieni ndio hicho hicho,mnakera sana ndio maana wanakuiteni nyumbu kwa kuamini na kufuata lililo mbele yenu
Akili zako ni za kisali unajisaliti hadi mwenyewe
 
Back
Top Bottom