Kamati za Bunge

Kamati za Bunge

Kuna WATU YAANI SIKU WAKISIKIA ZITTO KAFA,WATAFANYA BONGE LA SHEREHE MAANA CHUKI ZIMEVUKA KIKOMO AISEE.Binadamuuuuu
 
LAAC

Wapo
Dkt sulaiman ally yussuph CUF

ROSE KAMILI CDM
GRACE KIWELU CDM
JOSEPH MKUNDI CDM UKEREWE
EDGAR NGOMBALE CUF
CONCHESTA LEONCE RWAMLAZA CDM
 
Viwanda biashara mazingira

Julius kalanga MONDULI CDM

khatib said haji CUF

anthony komu CDM

HAWA CDM
JESCA KISHOA (MKE WA KAFULILA)

NA DADA ANATROPIA THEONIST CDM VITI MAALUM DSM
 
Kiukweli zzk kapotezwa sana!! Ikiwezekana huko awe Mjumbe
 
Kamati ya Maendeleo ya jamii si ndio inahusika na kuhakikisha jamii inakuwa na vyoo bora? Aitumie hiyo kamati kuhakikisha wananchi wa lile jimbo alilolikimbia wanajifunza matumizi ya vyoo badala ya kwenda porini. Hususani maeneo ya Mwandiga. Wakati tunafikiria kujenga ma fly over ni aibu kwa wa TZ wenzetu kujisaidia porini. Najua alishindwa kufanya hayo wakati ule kwani alikuwa busy kutumikia vyama viwili Chadema na ccm
Kamati hii pia inahusika na elimu natumai atahakikisha vyeti feki na elimu ya hapa na pale inatokomezwa
 
KAMATI YA MIUNDOMBINU

JAMES FRANCIS MBATIA (MB) NCCR MAGEUZI
WILLY QAMBALO CDM
ZUBEDA H SALUM CDM
KHADIJA S ALLY CUF

MARRY MURO CDM
JEFF MICHAEL CDM
 
Leo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-

Zitto Kabwe
28 mins ·

Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndio Kamati nitakayohudumu katika Bunge la 11. Namshukuru Mheshimiwa Spika kwa uteuzi wake huu kwangu. Kamati hii inashughulika na Masuala ya Vijana, Michezo, Ajira, Elimu na Afya. Ni kamati muhimu sana. Nitaitendea haki na kuwatendea Haki Watanzania. Kazi iendelee


Mwenye majina kamili atuwekee hapa, au kama kuna uzi wa namna hii tuelekezane, nina hamu ya kujua PAC na LAC members ni kina nani, pia kamati ya Nishati na Madini.
mbona mtakoma.
 
Leteni majina yote ya kamati sio CDM tu.Kamati si siasa vya vyama au kamati tendaji ya chama flani.Ebo!
 
KAMATI YA MIUNDOMBINU

JAMES FRANCIS MBATIA (MB) NCCR MAGEUZI
WILLY QAMBALO CDM
ZUBEDA H SALUM CDM
KHADIJA S ALLY CUF

MARRY MURO CDM
JEFF MICHAEL CDM


samahani mkuu naomba kueleweshwa hizi kamati wanachaguliwa wapinzani tu ? au kamati zinakuwaje
 
Nalifikiri itakua vema mod akabadili kichwa cha habari kikawa Update ya Kamati kwa wabunge wa Ukawa
 
Zito u yuda unakuandama popote yaani sasa hivi huna side kiukweli zito sio mpinzani lakini moyoni ni ccm hii nayo inamtesa. Ushauri zito nenda ccm maana nafsi itakunyanyasa. Mf. Bungeni wakisema wapinzani nyoosheni mikono zito hawezi kunyoosha, wakisema ccm nyoosha mikono hawezi kunyoosha labda yesu arudi sasa hii si inamtesa? Pole zito.
 
Back
Top Bottom