Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,611
Leo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-
Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndio Kamati nitakayohudumu katika Bunge la 11. Namshukuru Mheshimiwa Spika kwa uteuzi wake huu kwangu. Kamati hii inashughulika na Masuala ya Vijana, Michezo, Ajira, Elimu na Afya. Ni kamati muhimu sana. Nitaitendea haki na kuwatendea Haki Watanzania. Kazi iendelee
Mwenye majina kamili atuwekee hapa, au kama kuna uzi wa namna hii tuelekezane, nina hamu ya kujua PAC na LAC members ni kina nani, pia kamati ya Nishati na Madini.
================

Majina ya Wajumbe wa Kamati za BungeView attachment 318371View attachment 318372View attachment 318373View attachment 318374View attachment 318375