Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Zitto analalamika bado anaona km kupangiwa kamati nyingine ni km kupewa adhabu..vile na kiukweli PAC itaongozwa na mbunge ambae hajawahi kua hata mbunge hapo awali eidha yule wa tanga mjini au kaboyokwa wote hawa ni wazuri. Km mmoja wapo atapewa PAC kuiongoza