Kamati za Bunge

Kamati za Bunge

Kamati ya PAC na LAC zilitakiwa zipangwe na upinzani.. speaker ameweka ukwa 6 na ccm 17 kwenye kamati ya pac.. serikali hiii itakua na utendaji mbovu kulliko ya msoga
 
anagalia hapa
Kamati ya PIC ni ipi ama unakusudia PAC¿
Public Investments Committee - PIC (Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma)
Public Accounts Committee - PAC (Kamati ya Hesabu za Serikali)
 
PAC
LIVINGSTON KABOYOKA
MUSSA BAKARI MBARUKU TANGA MJINI
RAISA A MUSSA
FERDINANDI KOMBA
TUNZA MALAPO
ALLY SALUM KHAMIS
 
Kilimo mifungo na maji

Dkt immaculate semesi
Mwalim ryoba
Ole nangole
John mnyika
Hassan bobali
James millya
Pascal haonga
Upendo peneza
 
NISHATI NA MADINI
JOYCE BITA SOKOMBI
MOHAMED JUMA KHATIB
SUZAN KIWANGA
SAID MTULIA
YUSUPH MAKAME
KATANI KATANI
ZAINAB M BAKARI
MARYAM MSABAHA
 
MALIASILI NA UTALII

SAKAYA
YUSUPH HUSSEIN
DEVOTHA MINJA
GEKUL
KUNTI MAJALA
JOSH NASSARI
YUSUPH H.
LWAKATARE MUGANYIZI
 
Kamati ya bajeti

MH MBOWE
SILINDE
SALMA M MWASA
SUZANA MGONIKULIMA
J. HAMAD OMARY
SUZANA MASELE
CECIL M MWAMBE
 
Siku hizi waberoya amepotea sana jf au kachukia kuenguliwa kwenye kamati yetu iliyompa umaarufu?
 
Watu wanauliza SAED KUBENEA AHMED KAPANGIWA WAPI

JIBU

KUBENEA YUPO KAMATI MOJA NA ZITTO Z KAMBWE FULL STOP.
 
Zito anataka kupigana twita/fb.analazimisha apewe hongera,watu wanampa pole
 
Majina ya Wajumbe wa Kamati za Bunge
1453398658942.jpg
1453398672442.jpg
1453398710678.jpg
1453398741363.jpg
1453398755389.jpg
 
Back
Top Bottom